Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Daah! Hatari sana
Unaeza kujikuta umemnyima mchezo Watu8 akaamua kujivua gamba akajiita Shimba ya Buyenze akakupata [emoji23][emoji23]

Mie ndio maana naambia watu ukiamua kumkataa mtu humu basi wakatae wote tu manake unaweza kujikuta unazunguka bure tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hamna....Yan jf ukimpa me mmoja Sawa tuu umetupa wote. Sisi ni kitu kimoja
 
Nafukua makaratashi ya vibuti Intelligent businessman ulitoa post kwa Lovelovie kipenzi changu akakutema kisa una umbo kama la mangi 🤣🤣🤣🤣 kipara peh kama cha pimbi, unavaa vishati vya ajabu ajabu unatisha unahema hema na kuongea haraka na kuvaa miwani kama enzi za ko za milembe umetoka tu ukatangaza nia ndio maana ukakataliwa mwenzio aliogopa kama hujapona vizuri.
 
Oooooh kumbe
 
Back
Top Bottom