Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Kuwa makini na comment zakoNani anaonyesha kunipenda na nisijue flower?
🥺
Hebu niambie natakiwa nifungue vipi milango mrembo?
Kuwa makini na comment zakoNani anaonyesha kunipenda na nisijue flower?
🥺
Hebu niambie natakiwa nifungue vipi milango mrembo?
Sikiliza humu kuna wanaume manipulator wanacheza na hisia zako wanakufanya ujihisi speacial kumbe wala you are not the one mama,unakuta mtu ameoa Halaf anakufanya ujihisi wewe ndio mkewe Nawe unaingia kingi lakin mwenzio anajua anachojifanya anakuweka weka akutumie kwenye michezo yake ,hapo unapoteza muda na kujizibia mtu sahihi kwako atakaekupenda kwa moyo mmoja. Na hii ni wanawake wengi tu wanapitia sasa unakuta labda hujapata mtu sahihi unakuwa unajiambia labda atabadilika lakin wapi unaogopa kuwa mpweke wakati ungekuwa mpweke akajitokeza yule sahihi wako ,unakuta kuna mtu anakupenda kwa dhati ila akiona uko na mwingine anakata tamaa,ni bora ubaki single kuliko kuwa na mtu ambae sio sahihi kwakoNi kweli inaonyesha jamaa ameshikiwa kisu kutoa hii post halafu mwisho wasiku hata hilo penzi hapewi usiku humu wanaume wa humu wanaringaga sana . Sana mie nimeacha kiherehere kila daily post zisizo za msingi. Nje wapo wengi tu hawaringi kama hawa wanajitambua sura ni matata hadi raha . Humu umkute anahiyo sura utalia
Wanakwambia mchanganye adui yakoWambeya lazima muyumbishwe
🤣🤣🤣🤣 Yaani wanajikuta kina Juliet and Romeo kwelikweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan humu watu nyie
Ujue kuna mapenzi ya kweli na mapenzi ya nipe nikupe.
Wanakwambia mchanganye adui yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani wanajikuta kina Juliet and Romeo kwelikweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujaniita
Sema meno mwayaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtafuteni mganga kabisaa, ntarogwa na wengi kupitia mengi.Ukilogwa hatukupeleki kukuagua ujue shauri yako [emoji1787]
Hata sijali...naona drama tu😃😃😃Utaambiwa na wivu
Wanasema mambo yao muwaachie wenyewee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila inakata sana kuwa na mwanaume mwenye wanawake wengi utavimba humu jf na kujikakamua kuwarusha roho watu kumbe unajichafua kuaibika huku moyon huna raha kabisa na huwezi kuwa na raha
Shooooo🤣🤣🤣Watu tuna Siri
We SI umefunga pm hata Kwa watu mhimu
Kaaa Kwa kutulia🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa uduguu ntafanyaje mie? Maana niliambiwa yeye ni mkubwa na anajua nn anafanya, wapendanao wakigombana, wengine mshike jembe mkalimeee.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ila coca unajua kukera khaaa[emoji1316] sema mnajuana nyiee,, maan nmeshangaa kuona unamsapoti shost ako kweny huu uzi wakat selfika2 ulikua unamchamba kuhus penzi lake[emoji38][emoji38] siku mambo yakibadilika najua lazima umgeuke na kicheko juuu.
Morning! Hamna kitu unanifurahisha kama cheko lakoHahahahaha, JF bhana
Mi Sina jicho la umbea bwana mlongo🤣🤣🤣Mimi Hadi nimeamkia hapa nikajua nitakuta mmeshawataja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona wako humu humu, wee tazama vizuri utawaona eti.
Mambo yao tuwaachie wenyewee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua hiyo ni kunyanyaswa kihisia na mtu anakuwa anajifariji kwa uongo maana mwanaume anakuwa manipulator,kutoka kwa hayo mahusiano mpaka ukae ujitafakari haswa uwe na msimamo,maana unakuwa unajizibia riziki yako kwa mtu wa kweli humu wako wanaume wazuri tu na wametulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mbona mnanisagia kunguniii tenaaa? Vibaya hivyooooCoca alimuambia ukweli lakin [emoji23][emoji23][emoji23]ila aliaibika mi niliwaambia tu kuwa mnahangaika kuchamba [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa waja hebu semeni mnataka nifanyejee? Wenyewe wameamua kurudianaa, niwasapoti tyuuhsaiv kikowapi[emoji23][emoji23][emoji23] yani ni anamsapoti kwa spidi ya 5G, huy binti sio mtu kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yan kama sio yeye vile ambae alikua anatami hili penzii lipotee mazima