Loving you Mahondaw

90' ziliisha wakaongeza 30 ' bilabila matuta wachezaji wamepiga uwanakaribia kuishaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ,!
Sauzi VS Cabo Verde mtanipa matokeo kesho πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€!

Smart911 unaupiga mwingi..bila kukuongelea Kuna watu humu hawatasikika kabeeesa 🀠🀠!

Forever and alwaysπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ’€πŸ˜΄πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ’€πŸ˜΄
 
Acha kukipa promo hicho kisingomaza Cha Arusha mkuu .

Ni aibu hata ku mention humu 🀒
Ulimuomba Depal akakukataa? Mwanaume hakosani ni mwananke aliyeomba akakataa. Mwanaume kazi yake kuomba K kwa wanawake. Mwanamke kazi yake kuu ni kukataa maombi ya kula K yake. Akiwa anakubali kubali basi anabadilika na kuwa MALAYA
 
Jf ni tofauti na unavyoiona kaka, ina watu wa ajabuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siku nikifungua mdomo kuna watu watapoteana humu..!!! Ndiomana najichekea zangu tu!!
Ufunguo tuufunge kama wenzako tulivyo ifumba kwa kujaribu kufungua mafaili. Ila wewe unavyojifanya hapa JF nilikuta si sawa na maisha yako ya kila siku. Wewe kwa wasiojua ni wife material. Bisha
 
Story gani??? Embu nielezee.
Na gono sijui ukimwi mlipeana? Mambo ni mengi kumbe eeeh
 
Tupoooo, naahidi kuwa bega Kwa bega na huu uzi hadi utapofungwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo Baba K atafute Kwa kwenda kula......sipikii toto la mtu Leo, Jf kumenogaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti Hadi utakapofungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwanza nimeshangaa mpaka muda huu Uzi upo bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…