Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Sikia shouzzz ngoja nikate unafiki hapa, wee ile siku nimemchamba na kumchambua huyo smart kuhusu tabia yake ya kupakazia uongo, tena nilimuita kwa kumtag mwenyewe, ulisemaje?

Ikiwa mie mpinzani kwako, si ungenikatazaaa siku ile ile? Zimepita njegeka ngapiii hadi leo nionekane mpinzani wako? Kupatana kwenu mie sio shida, shida ilikuja kwa huyo smart kuambia watu kuwa walio ktk upande wako walipoteza nguvu na muda buree kukupigania ikiwa wee na yeye mnajuana, yes alikua sahihi yeye anakujua kuliko mie.

Mie nilikulalamikia wewe, na nilihoji kwa kusema ambavyo wake wenzio walisema, ubaya wangu uko wapi? Kwann ulijua wee na yeye mnajuana na mtapatana baadae, si ungeni cancel tangu mwanzo? Wengi wameanza kujua bifu lako na Depal, kumbe kuna wengine wawili nyumaaa, uliwaambia? Wanajua hilo?

Sikia shouzz nakuheshimu na nitakuheshimu daima, sina ubaya na wee na sioni haja ya kuwa hivyo. Nilikulalamikia kwa kuwa nilikupambania wee binafsi, nasikia leo mie ni mpinzani wako.

Hayaa bhana. Sina neno mie.

Kumbe unaweza andika Gazet [emoji23][emoji23][emoji23]bado hujasema
 
Huna baya,
Screenshot_20231226-070041.jpg
 
Umenikumbusha mbali Sana’a.!! Hiyo siku nilikuwa nafatilia umbea ambao leo umejirudia tena, tukapigwa ban halafu kuna kundi likaja ku celebrate aiseee!! Nilikiwasha mpk sio poaah!!

Sema yashapita, halafu ww nani mwenzetu??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo mashosti mnabadili id sana
Hahahaha nilipigwa ban na mie,

Jf haipo,haibohi.
 
Sikia shouzzz ngoja nikate unafiki hapa, wee ile siku nimemchamba na kumchambua huyo smart kuhusu tabia yake ya kupakazia uongo, tena nilimuita kwa kumtag mwenyewe, ulisemaje?

Ikiwa mie mpinzani kwako, si ungenikatazaaa siku ile ile? Zimepita njegeka ngapiii hadi leo nionekane mpinzani wako? Kupatana kwenu mie sio shida, shida ilikuja kwa huyo smart kuambia watu kuwa walio ktk upande wako walipoteza nguvu na muda buree kukupigania ikiwa wee na yeye mnajuana, yes alikua sahihi yeye anakujua kuliko mie.

Mie nilikulalamikia wewe, na nilihoji kwa kusema ambavyo wake wenzio walisema, ubaya wangu uko wapi? Kwann ulijua wee na yeye mnajuana na mtapatana baadae, si ungeni cancel tangu mwanzo? Wengi wameanza kujua bifu lako na Depal, kumbe kuna wengine wawili nyumaaa, uliwaambia? Wanajua hilo?

Sikia shouzz nakuheshimu na nitakuheshimu daima, sina ubaya na wee na sioni haja ya kuwa hivyo. Nilikulalamikia kwa kuwa nilikupambania wee binafsi, nasikia leo mie ni mpinzani wako.

Hayaa bhana. Sina neno mie.
Mpira ushanichosha nasinzia hukuu😴😴😴😴 !

Kila mmoja na maisha yake wapendwa tushasema hakuna kupangiana!

Ova
 
Back
Top Bottom