Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Na kweli. Kuna wanawake wakiambiwa wanapendwa wanaamini wameonwa ni wazuri.

Tufundishe mabinti zetu kujitambua na kujipenda.
Nhaanhaaaaaaa Nimecheeeeeekkaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!

Nimekumbuka ile story ya Gono/ Ukimwi mvokua mnatema nyongo naona imenigeukia mie humu!
 
Kwani gono lilikuwaje 😂😂😂
 
You are wrong my friend. Ubinadamu si kugive up. Ubinadamu ni kupambania chako hadi tone la mwisho. Mwanamke wa shoka huwa haachi mume wake kirahisi isipokuwa malaya. Mwanamke atapambana na kwenda hata kwa waganga ili amrejeshe mume wake. Roho zenu ni sababu ya umalaya unawasumbua. Unadinywa na huyu, kesho yule keshokutwa etc. Nampongeza @mahondow
Naomba jibu lako mimi humu mjinga.
Unataka kuniambia Smart911 atamuoa Mahondaw?

Je Smart hana Mke?
Kuna mdau nilisoma mahala kuwa Mslahondaw ana watoto 2 je ni wa Smart911?

Mahondaw hana mume?

Ukinijibu haya humu sitaingia tena
 
Make mwanaume umekomalia ulisikia Gono UTI Gono UTI Gono ! Wewe ni wa muda humu bila shaka unafahamu hizo story za Gono/ Ukimwi/ UTI zilipoanziaga nashangaa ulivonishadadia as if mimi ndie niliezianzisha humu !

Naona unadhihirisha kuwa kweli hunaielewa ile koment ya Graham!

Kunywa maji mengi urelaxx !
Wala sijashadadia gono na uti, nimeuliza kama umepanda mti kabla ya mwingine kukatika au miti imepandana...
...wa kurelax na kunywa ya kutosha unadhani ni mimi kweli!! Anyway, furahia huba!!
 
Kwani gono lilikuwaje 😂😂😂
Hizo story kuna zilipoanziaga uduguuu tena humuhumu watu wanajizima data tu kutaka nionekane mimi ndie nilizianzisha !
Okay wanasema mimi nilisema jamaa amewaambukiza Gono/Ukimwi

Amewaambukiza means hakuniambukiza mimi but wao

Mpaka hapo waambukizwaji ndio source yahizi story and not me!

All was a lie he's clean and safe!
 
Tupoooo, naahidi kuwa bega Kwa bega na huu uzi hadi utapofungwa🤣🤣🤣
Leo Baba K atafute Kwa kwenda kule.....sipikii toto la mtu Leo, Jf kumenogaaaa🤣🤣🤣
Karibu wifi yangu, karibu mmbea mwenzangu.!!
Unatumia kinywaji gani??
Weee dada G mletee wifi savannah ya baridi, na mi niongeze Margarita shots 😂😂😂😂
 
Wala sijashadadia gono na uti, nimeuliza kama umepanda mti kabla ya mwingine kukatika au miti imepandana...
...wa kurelax na kunywa ya kutosha unadhani ni mimi kweli!! Anyway, furahia huba!!
Nimekuuliza wewe ni wa muda humu hizo story za gono zilianzia wapi humu???
 
Nsombw jibu lako mimi humu mjinga.
Unataka kuniambia Smart911 atamuoa Mahondaw?

Je Smart hana Mke?
Kuna mdau nilisoma mahala kuwa Mshondaw ana watoto 2 je ni wa Smart911?

Mahondaw hana mume?

Ukinijibu haya humu sitaingia tena
Sa watoto kitu gani? Kwani wanawabeba mgongoni? Yani watoto ndo wazuie watu kupendana🤣🤣🤣 nyieee🤣🤣🤣

Wifi Lamomy hebu weka ule wimbo wa Nandy na Alikiba couple yetu ienjoyyyyy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom