Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,233
- 2,801
Kimsingi hupaswi kulaumiwa kwani maamuzi yako ndio ya mwisho.Weee tangu mwanzo unanikandia tu hasimu hebu nitetee namimi one time basi🤣🤣🤠🤠🤠( Kidding )
Basi sawa mwaego wee endelea kuniponda tu
Sema sisi wanadamu huwa hatuzuiliki kuongea.
Lingine wewe ndio unakoleza moto na hizi cheche zinaweza kuleta mlipuko mkuuubwa.
Smart911 nimejifunza ni bonge la mjanja yeye anasoma na kulike tu