Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
- Thread starter
- #21
Kaka Kasana, issue hapa sio mapenzi, naomba nieleweke sana kuwa mke wangu bado nampenda tena sana-(ref;kwenye main post nilichosema). Kilichobadilika ni our sex life ndo maana nalazimika kusaka vicheche vya one night stand now and then. Ukweli ni kwamba wengi hamtaki kuadmit kwamba ile sex life ya mwanzo wakati hamjapata watoto ni tofauti kabisa na baada ya watoto, mkeo alikua kimodo enzi hizo- mapigo yote anakwenda, nikimkunja hivi anakunjika lakini baada ya kuzaa kawa bonge- we are limited in styles na kuna vitu nilivyokuwa naenjoy enzi zile lakini sasa hivi hawezi kunipa, na pia enzi hizo energy yake ilikua babu kubwa lakini siku hizi saa zote kacho, nikitaka hadi nibembeleze....KKN je unampenda mkeo?
Ndoa yako ilitokana na mapenzi au shinikizo?
Ni kitu gani kilikufanya ufunge naye ndoa?
Kazi za nyumbani zinachosha na zinapunguza munkari wa mapenzi hata kitandani. Kuwepo na watoto si sababu kubwa ya mapigo kupungua.
Hebu fikiria wote mnafanya kazi (Dar),
inabidi mama awahi kuamka kuwatayarisha watoto waende shule na kisha akutayarishie chai wewe.Akirudi kutoka kazini inabidi achakalike jikoni, awahudumie watoto, n.k, at the time anamaliza shughuli hizo ni usiku yuko hoi. (labda wakati huo wewe uko online JF au unasoma gazeti au unaangalia news).
Kutoka nje kwa kisingizio cha kubadili mboga ni hulka ya mtu. mbona kunastaili nyingi tu za kujamiiana, kama mtakuwa wa wazi na kuwa wabunifu mtabadili mboga wenyewe kwa wenyewe.
Wanaume wengi wana wivu wakiona wake zao wanajivinjari nje hata kama watakuwa wamewatelekeza.