Love vs Sex

Mtaalam ukweli ni kwamba- watu wengi, wake kwa waume haswa walioko kwenye ndoa muda mrefu wanacheat, may be im just the first to admit,ndio maana kila siku maugomvi na suspicions haziishi kwenye relationships. Wewe unaweza ukajinyima raha ukijitia kumtunzia heshima mwenzio kumbe anaburuzwa kichizi, the best way to do it ni kuwa smart, usishtukiwe tu. My approach is its fine, as long as she doesnt find out, au unasemaje mkuu.Waafrika hatuna tabia ya kudivorce kirahisi, especially mkishakuwa na watoto,watu wengi wanaishi tu pamoja kwa mazoea lakini feelings hakuna kabisa, wenzetu weupe wanajua kuwa ndoa ina expiry date, wakichokana wanaambiana na kila mtu anatambaa kivyake lakini kwa kuwa kwetu kuachana ni aibu- ndio maana cheating itaendelea kuwepo siku zote.
cheating kama ukitaka wew mwenyewe lakini unaweza ukawa kwenye ndoa na usi cheat. hivi hofu ya mungu haiko ndani yako? ujui kama unafanya uzinzi? na hayo mawazo uliyonayo ya kusema kwamba ukute mwenzako anaburuzwa kichizi ndo yanakufanya na wew uzidishe tamaa zako. hey badilika hautapewa tunzo yakubadilisha mboga mara kwa mara ni kwamba unajipunguzia credit kwa mungu ingawa kwa binadamu utaona kawaida, mungu alitoa ubavu akumuumba mwanamke mmoja tu tena ambaye huyo uliyekuwa nae. badilika hzo siyo sifa bali ni ujinga na siyo kila kitu wanachofanya watu basi lazima na wew ufanye
 
Mkuu Nsungu,its four years now toka umerusha huu uzi,are you still in marriage?
 
Nijuavyo mimi ni kuwa unaweza kumpenda kila mtu lakini huwezi kusex na kila mtu,upendo ndo ulifanya dunia ikawepo kwa maana ya uumbaji,tumeshauriwa tupendane wote,kuna wengine wanaweza kusema upendo wa kumpenda mke ni tofauti na upendo wa kumpenda mama,mimi nasema no!Upendo ni mmoja kwani maana ya upendo ni kumkubali mtu kama alivyo bila masharti,mfano;unampenda mtoto sio mpaka afaulu mtihani au adeki nyumba!Sex haina uhusiano wowote na upendo,hilo ni jambo ambalo unakubaliana na mtu ili mjenge familia na ni jambo linalotakiwa kufanywa na watu wale wawili tu!
 
nimekua najiuliza siku zote kwanini relationship nyingi zinavunjika eti kwa kuwa mwanaume ame have sex na mwanamke mwingine? Ndugu zetu wa kike eti wanaamini kuwa uki sex na mwanamke mwingine ni kwamba huwapendi wao tena na hapa ndio ubishi wangu ulipo leo.

Wanaume, tofauti na wanawake, tuna uwezo wa kutofautisha sex na love. I can just have sex with a woman and treat it as a mechanical process- just bang, bang, bang and off i go- without having to indulge my emotions at all, just for the sake of relieving myself. Nikirudi nyumbani kwa mke wangu- i make love to her- i put my brain, heart and soul into it. Mwanaume anaweza kuwa kiwembe ile mbaya lakini at the end of the day anakuwa na mwanamke mmoja mbaye ndio roho yake.

Naamini wanaume wengi kama mimi, if given an option, tungependelea ku have sex with more than just one person wakati tukiwa kwenye ndoa zetu. Sijui ni tamaa au ni ulafi lakini kila ukitembea barabarani unakutana na majaribu and we are so weak.i think its biological!!! In contrast, wanawake wengi wanakasumba ya ku attach emotions zao kwenye tendo la sex, for majority hadi 'akupe' ujue kuna viji feelings na emotions involved. (i understand ni tofauti kwa wazungu na wale 'waafrika wazungu').

I know most of you will be like "what on eath is ks on about today?" im in trouble this weekend bse my wife has found out that i slept with someone when she was away, na najitahidi kumuelezea kwamba it was just a one night stand,i cant even remember the girl's name, it absolutely meant nothing to me-(just sex) and she (my wife) is still the one i would die for.sijui nifanye nini ili nieleweke.

utamruhusu mkeo asex na wanaume wengine lakini akupende wewe tu?
 
Back
Top Bottom