Love vs. Crush

Nimekupata unachoulizia
Mtu akisema I have a crush ana
maanisha kamuona binti/kijana kwa mara ya
Kwanza na kapata hisia za kimapenzi..

Lakini LOVE
Ni kitu kingine
kabisa.love is more than crush
Love goes deeper than crush..

Sasa huyo
dada hapo hana
Love wala crush
sijui ana nini
Maana tayari miezi mitatu
To my understanding I will say FRIEND S WITH BINEFITY

Umefafanua vizuri sana AD.
YouTube - Eminem - Lose Yourself
 
mungu.
mumhu ni pendo
asema tupendane


na mikija kupendana wawili kiadamu na eva ndo mnaitana wapenz(traditionaly) thou yeyote waweza mwita mpz ..ata baba,mama ,dada....
 
Mungu mwenyewe, kwakuwa imeandikwa Mungu ni pendo apenda watu!!
 
Upendo asili yake ni Mungu,na kila kitu unachokiona ulimwenguni kwa maana ya uumbaji,asili yake ni upendo,ndo maana alituagiza tupendane,but hakumaanisha mke na mume bali kuwakubali wanadam wote bila masharti,kutoa upendo kwa vyote bila kujali unarudishiwa nini,mfano halisi wa upendo ni upendo wenyew(Mungu)anatupenda bila kujali sisi ni wezi,wazinzi,walevi nk
 
Mhh afro na boss mnanifurahisha...am now addicted to JF...its fun...anyway love is hard to find,most of us relationship zetu are based on crushes,ndo maana ndoa na relationship nyingi hazidumu
 
Mhh afro na boss mnanifurahisha...am now addicted to JF...its fun...anyway love is hard to find,most of us relationship zetu are based on crushes,ndo maana ndoa na relationship nyingi hazidumu

mmmhhh
karibu wa PHD..
 
habar yenu wana JF. Mie ningependa kufahamu tofauti ya love n crush IN DEEP! HOW CAN YOU TELL THIS IS LOVE AND THIS IS CRUSH. Je,crush ina last for how long? Maana kuna rafik yang alimpenda binti,wakawa marafiki kwa miezi3 ila alvomwambia yule msichana aligoma akidai eti ni crush wala sio love. Msaada!


Crush then Love not love and then crush...for more contact me....loving is very easy but keeping love is another issue, to crush on someone mhhh si unajua hasa sisi vidume?
 
Back
Top Bottom