Love vs. Crush

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
habar yenu wana JF. Mie ningependa kufahamu tofauti ya love n crush IN DEEP! HOW CAN YOU TELL THIS IS LOVE AND THIS IS CRUSH. Je,crush ina last for how long? Maana kuna rafik yang alimpenda binti,wakawa marafiki kwa miezi3 ila alvomwambia yule msichana aligoma akidai eti ni crush wala sio love. Msaada!
 
Dah,kwenye ngeli una niacha ila ukirudi kwenye kiswahili tunakuwa pamoja,naona kama ushauri wangu hauuhitaji vile!
Crush=kujikwaa,kwaruza,ponda
Love=mapenzi
wapi na wapi?nifafanulie jombaa
 
Dah,kwenye ngeli una niacha ila ukirudi kwenye kiswahili tunakuwa pamoja,naona kama ushauri wangu hauuhitaji vile!
Crush=kujikwaa,kwaruza,ponda
Love=mapenzi
wapi na wapi?nifafanulie jombaa

kuna ile crush yakumzmikia m2 gafla mkuu
 
Nimekupata unachoulizia
Mtu akisema I have a crush ana
maanisha kamuona binti/kijana kwa mara ya
Kwanza na kapata hisia za kimapenzi..

Lakini LOVE
Ni kitu kingine
kabisa.love is more than crush
Love goes deeper than crush..

Sasa huyo
dada hapo hana
Love wala crush
sijui ana nini
Maana tayari miezi mitatu
To my understanding I will say FRIEND S WITH BINEFITY
 
Nimekupata unachoulizia
Mtu akisema I have a crush ana
maanisha kamuona binti/kijana kwa mara ya
Kwanza na kapata hisia za kimapenzi..

Lakini LOVE
Ni kitu kingine
kabisa.love is more than crush
Love goes deeper than crush..

Sasa huyo
dada hapo hana
Love wala crush
sijui ana nini
Maana tayari miezi mitatu
To my understanding I will say FRIEND S WITH BINEFITY

Inaonekana una mwandiko mzuri sana Afro
 
Nimekupata unachoulizia
Mtu akisema I have a crush ana
maanisha kamuona binti/kijana kwa mara ya
Kwanza na kapata hisia za kimapenzi..

Lakini LOVE
Ni kitu kingine
kabisa.love is more than crush
Love goes deeper than crush..

Sasa huyo
dada hapo hana
Love wala crush

sijui ana nini
Maana tayari miezi mitatu
To my understanding I will say FRIEND S WITH BINEFITY

kwa ufupi ana mapepe. hakuna crash wala mchumba wake crash.
 
Hahaha
Speaker wewe
acha uchokozi
mie nikiandika ni
Kama kuku kwenye matop e
sante Mungu kwa computer...
hahahah lol

Upangaji wa kazi safi sana,.
Nahisi waalimu wako walikuwa hawana shida kusa hihisha kazi yako

huh,numepata crush na mimi sasa
 
Nimekupata unachoulizia
Mtu akisema I have a crush ana
maanisha kamuona binti/kijana kwa mara ya
Kwanza na kapata hisia za kimapenzi..

Lakini LOVE
Ni kitu kingine
kabisa.love is more than crush
Love goes deeper than crush..

Sasa huyo
dada hapo hana
Love wala crush
sijui ana nini
Maana tayari miezi mitatu
To my understanding I will say FRIEND S WITH BINEFITY


i have a big crush....
on you...afrodenzi
 
Upangaji wa kazi safi sana,.
Nahisi waalimu wako walikuwa hawana shida kusa hihisha kazi yako

huh,numepata crush na mimi sasa

Hahahah lol
ni mazoea tu

Hahahah
Umenichekesha
sana kwa kweli
eti umepata crush
hahahahahahahah
kumbe hata we unavituko
mmmmhhhh kuna raha sana JF
 
i have a big crush....
on you...afrodenzi

Hahahah lol
You have crush
on me mmmmmhhh
I'm so lucky hahah lol
I think i have a little
Crush on you to mmmhhh
But shuuuuuuush don't tell
Any one hahahahahahahah lol
 
Hahahah lol
You have crush
on me mmmmmhhh
I'm so lucky hahah lol
I think i have a little
Crush on you to mmmhhh
But shuuuuuuush don't tell
Any one hahahahahahahah lol

funny thing i always
suspected that u have a crush on me
why hiding?njoo pm unieleze uzuri...
 
funny thing i always
suspected that u have a crush on me
why hiding?njoo pm unieleze uzuri...

Mmmmhhhh
PM mbali sana lol
hapa hapa panafaa lol
Nina crush na mtu mwingine
tena hapa JF mmmmhhhh
I'm just being honesty with
with you..hahahahahahahah lol
 
mmmmhhhh
pm mbali sana lol
hapa hapa panafaa lol
nina crush na mtu mwingine
tena hapa jf mmmmhhhh
i'm just being honesty with
with you..hahahahahahahah lol

you are soo good at flirting you know....
 
mmhhh
i'm not flirting
i'm being honesty
with you...

Mmmmhhhh
nisije nikakuvunja
moyo bure kijana mzuri
you know what i mean aee
hahahahahahahah lol

hebu jaribu kunivunja moyo nione?
Sijawahi vunjwa moyo tka nizaliwe...
Na sidhani kama waweza ,hebu try...
 
Back
Top Bottom