Mkuu upo mpaka huku?
Karibu sana mkuu MMU bavicha wakipaona hapa watachafua hali ya hewa.
Ni kweli mkuu ngoja na mimi niwakaribishe hawa makomredi wangu Lizaboni na Simiyu Yetu ili tujadili hatma ya huyu Kamanda.
Sasa wewe MSALANI utatuletea siasa zako.Acha bwana tuone waheshimiwa wanavyotongozana
Japokuwa hii ni hali yakuchafuana kisiasa ila huyo mwanamke hana akili timamu...
Aiseee nimekuja hawa wanawake tunaokota barabarani hawa tuwaangalie sasa hapo anamchafua mbunge wetu au anajichafua yeye mwenyewe? maana kama alikuwa na mchumba mjeremani halafu anasema anajitunza huku analiwa na Jimmy bila kuwepo na mpango wowote yeye akidai having fun aiseee na huyu sugu wa kutafuta mtoto kumbe wanawake siku hizi ndo mko hivi? yaani unakuwa na mchumba ambaye atakuoa then unakuwa na mwingine wa starehe dah! haya makubwa, Angelicious njoo hapa uniambie unao wangapi na unipe mchanganuo kabisa mimi niko kwenye kundi lipi kati ya hayo matatuMkuu Daudi1 upo? Kuna true story huku.
Hajafunzwa kwao huyo wenzake wakiachika hawasemi, na hajasema ametoa mimba ngapi au hilo ameliweka chini ya uvunguMwanamke mwenye akili timamu huwezi kuanika upuuzi kama huu ....kahaba @ work
Aiseee nimekuja hawa wanawake tunaokota barabarani hawa tuwaangalie sasa hapo anamchafua mbunge wetu au anajichafua yeye mwenyewe? maana kama alikuwa na mchumba mjeremani halafu anasema anajitunza huku analiwa na Jimmy bila kuwepo na mpango wowote yeye akidai having fun aiseee na huyu sugu wa kutafuta mtoto kumbe wanawake siku hizi ndo mko hivi? yaani unakuwa na mchumba ambaye atakuoa then unakuwa na mwingine wa starehe dah! haya makubwa, Angelicious njoo hapa uniambie unao wangapi na unipe mchanganuo kabisa mimi niko kwenye kundi lipi kati ya hayo matatu
mamaafacebook kwani wewe mtanga?Aaah mkuu watu8 hata kumtizama tu kwa macho ya uhalisia sie mwenzetu wa tanga yule
mamaafacebook kwani wewe mtanga?
Aaah mkuu watu8 hata kumtizama tu kwa macho ya uhalisia sie mwenzetu wa tanga yule
Bibi asemacho doctor ni kweli.Yule ni mhaya sema mama yake mtanga ndio maana kinajishaua kuwa ni kitanga
Aliona wapi mtoto akachukua kabila la mama??? Sijawah ona.ndo kwanza kwake halaf me ananiboaga kule kubana pua kibaya zaidi my gk my king my gk on my ass!!! Lol ptuuu ile redio siku hizi sina.hata habar nayo kwa kweli