Love story (True story)

Love story (True story)

Duh..mheshimiwa ana kazi maana inaonekana tutajua mpaka walivyokuwa wanamtengeneza mtoto wao.

Haya ndio kama yale mambo ya Zitto na yule binti wa Clouds FM...
 
Sehemu ya 4

Basi nikawa nawaza jinsi ya kwenda pale, kidogo akanipigia simu zinawaka taa usiku kwa hiyo kwa kuwa tulikuwa kaeibu Tukapeana ishara ya mkono wakaja kwenye meza yangu, basi ndiyo chanzo cha kujuana nakumbuka mpaka leo alikuwa amevaa nini na ambavyo mimi nilikuwa nimetokelezea, maana kipindi hicho nilikuwa nasafiri sana napenseza pamba kali za kumwaga kila nikieusi bongo basi kifupi nilikuwa napendeza sana kila siku.
Na wakati huo nilikuwa na mchumba wa mtu lakini mchumba wangu alikuwa anaishi German kwa mwaka tulikuwa tunaonana mala mbili au malatatu kwa mwaka na Tanzania alikuwa anakuja mala moja kwa mwaka kwahiyo Tanzania nilikuwa niko free musa mwingi yaani kama niko single somehow japo moyoni nilikuwa najua nina mtu kwenye maisha yangu.
Basi pale club tuka enjoy lakini hatukujuana vizuri sababu ya kelele za music, akaniuliza unakunywa nini . Maji. Hunywi pombe? Nikamwambia hapana mimi si mnywaji wa pombe siwezi akasema kunywa kidogo,
Kwenye maisha yangu ya kawaida mimi si mnywaji lakini sometimes hutokea mala moja moja kwa mwaka na inategemea na watu niliokuwa nao au nikiwa sijisikii ndiyo nakunywa JD, na kwanini kwa sababu nachanganya na Coca inakuwa siyo chungu so kwakifupi mimi sipendi vutu vuchungu.
Alinibembeleza ninywe kidogo sasa nikaona kama watu waote wako wame aoy attention kwangu tu basu nukasema okey, nakunywa JD na Coca ikaja na tukaendelea na story huku tuna kunywa basi mimi huwa napenda sana kucheza.....
Sasa yeye hachezaji pozi na mimi kama unavyojua mimi mtoto wa kike haaah haaah.
Basi ikawa buridani tu nili enjoy sana kwakweli na nilifurahi sana kumuona na zaidi ndugu yangu niliekuwa nae maana yeye mkazi wa Dodoma na mala nyingi anamuona kwa mbali basi tulifurahi sana kuwa nae kwa karibu.
Baadae tulitoka wote coz kila mmoja alikuwa anamtamani mwenzake, nothing more than having sex coz at that time nilikuwa nahitaji6 so we went out na kujifanyia mabo yetu.
Tje sex was good lazima niseme ukweli nilienjoy sana
Baada ya hapo tukapanga tukutane tena siku inayofuatawakati wa vinywaji sasa akaniambia ninywe tena, mimi sinywaji mfurulizo .
Itaendelea.....
 
Wanaume wengi hawanaga test wao ilimradi skirt isikatishe mbele yake

Tatizo yule anjirahis sana na wanaume sometimes n watu wa kutesti tu wakishakuona ulivyo unabaki umetoa macho kama mjusi kabanwa na mlango ila huyu dada mmmh kazidi hata sielew kipind chake sku hizi sjui kipo mana kaz yake kubwa ilikua ni kutia watu genye
 
Sehemu ya 5

Nikamwambia mimi sinywagi hivyo pombe tena kwa mfurulizo hivyo kumbe yeye akadhani na act, akaagiza JD bahati mbaya pale walukuwa hawana ya kupima ikaletwa chupa kubwa ya JD na mimi kawaida yangu nakunywa double 3 nakuwa fresh na unakuwa kipimo changu, basi kinywaji kikaja na tukaendelea kunywa akawa ananiuliza sasa unafanya nini nikawa najieleza nikamwambia mimi nilikuwa mfanya biashara na duka pale Namanga lakini sasa ni producer, akaniuliza wa nini nikamwambia wa movie, na kipindi hicho movie yangu ya Tough life ndiyo ilikuwa imeingia sokoni, akaniuliza inalipa? Ndiyo lakini wamenipa 10m na wameniahidi kuniongezea nikipeleka kazi nyingine nitalipwa zaidi na ndiyo hela niliyolipwa na Steps.
Basi huku vinywaji vinaendelea mpaka time ya disco imefika nikajikuta kipimo kimepitiliza maana nilikuwa najipimia mwenyewe.
Nilienda club nikiwa nimelewa sana kiasi ambacho nilisahai kama nimekija na mtu wa aina gani hapo ndipo alipoanza kujua kuwa kweli mimi ni ngeni kwenye ulevi.
Mwisho wa yote ilibidi atole aende kwenye gari akanisubiri maana alikuwa anaogopa scandal, alimwambia cousin wangu hivyo, sasa aliponiambia twende wakati huo pombe ndiyo usipime na music ndiyo usipime, aliponiambia twende jibu lake lilikuwa hivi.....
Wewee! Wewee! Nani bwana cheo chako huko kazini kwako siyo hapa sawa???
Ndiyo akaamua aende kunisubiri kwenye gari.
Sasa cousin alipoona nazidi kulewa sana ilibidi aniondoe kwa nguvu mpaka mwenye gari la huyo jamaaakanikabidhisha na kuondoka kitu ambacho namlaumu kila siku.
Kwahiyo nilipofika kwenye gari nilizima na sikuelewa chochote baada ya hapo nakumbuka tulipofika hotelini kwake aliniamsha na sikuamka alinibeba mpaka kwenye ngazi nilikaana nae akipimzika maana ilikuwa ghorofa ya tatu akanibeba tena mpaka chumbani nikajikuta niko ndani akiri ikarudi kutokana na mazingila, mala akawasha bhangi tukaanza kuvuta...
Itaendelea.......
 
Tobaaa kumbe mheshimiwa ni mvutaj mzur wa bhangi??? Siri zinavuja tu asee alikua wapi hapo kabla
 
Nakuambia tutasikia mengi mwaka huu.

Enh hatar kweli unaweza kuona mtu mzima ukadhani kichwani zimo kumbe kumejaa dagaa tu sasa huyu dada anapost kwa ajili ya nani iweje labda ana umr gani
 
Enh hatar kweli unaweza kuona mtu mzima ukadhani kichwani zimo kumbe kumejaa dagaa tu sasa huyu dada anapost kwa ajili ya nani iweje labda ana umr gani

Ni msichana tu subiri nitaweka picha yake hapa.
 
Huyu hapa shemeji yetu
 
Attachments

  • 1417736086986.jpg
    1417736086986.jpg
    26.3 KB · Views: 1,086
  • 1417736103526.jpg
    1417736103526.jpg
    30.4 KB · Views: 1,032
  • 1417736118172.jpg
    1417736118172.jpg
    34.6 KB · Views: 1,026
Back
Top Bottom