Halafu huyu dada ni muongo ametumwa tu kumchafua sugu,kwa SBB kwenye maelezo take anajichanganya
1)kwanza mwanzoni kasema alikuwa na boyfriend wake yuko nje ya nchi,sasa hivyo alikuwa kama yuko single,sasa huyo jimmy mbona hakumsema??hii inatupa jibu yeye ni kahaba kama makahaba wengine,atakaemuopoa ndo huyo huyo!!
2)kuna sehem kasema ye alikuwa MTU wa kujichunga hivyo sugu alipotembea nae bila kinga alijilaumu!!sasa kama alikuwa MTU wa kujichunga iweje awe na wasiwasi wa kuwa kaambukizwa gonjwa LA zinaa na jimmy kama kweli ye anatumiaga condom?kama sio pepo LA ngono linamtesa?
3)pia anasema anamlaumu cousin wake kumwacha na mwanaume akiwa amelewa wakati kule mwanzo amesema siku ya kwanza kukutana na sugu walifanya na alien joy sana,sasa siku ya pili anamlaumu cousin wake,sasa alitakacousin wake afanyeje zaidi za kumkabidhisha kwa mweshimiwa?
4)kwanza from the beggining amesema sugu alisema anataka kum.......,na Kweli akafanya hivyo,sasa anachokuja kutusimulia tufanyeje ikiwa ni umalaya wake ulimpeleka na tamaa zake!!!
Inaonekana katumwa na story yake katunga kumfedhehesha sugu,na kama ni ya kweli yeye ndo alijirahisisha kama fungu la bamia gengeni.