Love story (True story)

Love story (True story)

Huyu dada hana akili hata kidogo, huwezi kuweka wazi mambo ya ndani ya mwanaume wako hata kama alikutenda kiasi gani, anajidharirisha mwenyewe tu

Nakuambia tutasikia mengi mwaka huu.
 
Akiwa Dodoma huwa anapenda kwenda club kukutana na rafiki zake.... Ina maana yeye na rafikize wengi ni watu wa kujirusha.

Anasema amezoea kutongozwa kistaarabu.... Kwa hiyo anapenda kutongozwa ila siyo kihuni.

Nanihii alimwambia nataka niku.... akamshangaa sana, sijaona mahali akijaribu hata kuzuga kumaindi ili kudhihirisha yeye siyo mrahisi.

Mwishowe Nanihii akafanikiwa Kum.....

Well, ......................

Mkuu kama ni nchi za ulaya mh anaweza kujuhuzulu.
 
Siyo kwa issue ya mapenzi,story yenyewe inaonyesha wazi kuwa ana maumivu ya kuachwa! Usifikiri kila issue hata huko ughaibuni mtu anaachia ngazi,wanaachia ngazi kwa maswala yenye masilahi kwa umma!
 
Mkuu aliewakashfu watoto wa Obama hawajavaa vizuri amejihuzuru kina maslahi gani ya umma pale?
 
Baada ya kusoma haya maelezo

Kama sio chai...na ni uhalisia

Huyo msichana nae atakuwa maharage ya mbeya tu

Halafu anadai alikuwa mchumba wa mtu

Shame shame
 
Sehemu ya 6

Akawa ana vuta na mm navuta wkt tuna vuta nikazima kabisa sikupata fahamu mpaka asubuhi yaani sielewi mpaka leo ile bangi ni bangi tu au ilikua na nini au labda kwa kuwa nilichanganya na ulevi sijui maana sina uzoefu...asubuhi nilivyo amka nikajikuta sijielewi nikawa nawaza majibu sipati nikaangalia chini nikakuta CONDOOM za kutosha Lkn ni kama zimefunguliwa tu hazija tumika,nikamuuliza mbona CONDOOM zinaoneka hazijatumika ? Akanijibu nilikua nimelewa sana nikawa namvua Nasema kwamba zina nichubua, nikaa kimya kwanza kwa muda nikawa na waza Kama ni kweli nilisema sikupata jibu maana nilikua sijielewi wkt wa kitendo kizima Lkn nikapata swali nikamuuliza , sawa mm nilikua nimelewa nikakataa JE ? Wewe ulikua hujalewa Kama mm kwa nini ulikibali ? Akaniambia kila akitaka kuvaa mimi na mkataza... Dah!(nilihisi amenisingizia) Kwa kweli haikuingia akilini kwa sababu kwanza sikuamini Kama nilisema kwa sababu ktk safari yangu ya maisha mm nimejichunga sana Lkn sikuweza kumlaumu kwa sababu tendo lilikua limeshatokea zaidi nilijilaumu mm kulewa kupita kiasi pia nili mlaumu cousin wangu kwa nini ktk hali Kama ile aliiniacha na mwanaume... Nilisikitika sana sana nilijiona nimejikosea sana JIBU nililopata nisubiri miezi mitatu ifike nikapime nipate uhakika wa afya yangu maisha yangu yaendelee! Akauniuliza Jimmy ni nani ? Ni kashtuka amemujuaje.. Na mm nikamwambia jimmy umemjuje ? Akasema wkt tunafanya sex ndio nilio kuwa na mtaja nilizani yeye ndio anae nipa mautamu hahahaaa kweli nilicheka sana sikuona aibu kwa sababu kwa mm yeye alikua mpita njia tu... Nika mwambia Jimmy ni kijana yuko dar natokaga nae na nimezoea kufanya nae sex .. na kawaida ya kufanya hivyo! Halafu nikamwambia kwa kuwa wewe umefanya sex na mm inabidi nikwambie kuwa wkt natoka dar nakuja huku alinipigia cm akaniambia ana maumivu wkt wa kukojoa na alipata ugonjwa wa zinaa sasa mm sijisikii Kama naumwa na sijui huo ugonjwa kaupataje... Nimemwambia hivyo kwa sababu Kama akipata huo ugonjwa ajue amepata wapi! Nae akapata mshtuko Lkn akashindwa kunilaumu maana na yeye alifanya sex bila CONDOOM kizembe kwa hiyo wote tukaa kimya... Akaniliza na UKIMWI je? Wkt huo na mm ndio swali liliopo kichwani.... ITAENDELEA
 
Yani hili lidada alioni aibu linavyojidhalilosha?Mptuuu kuwa na jike kama hili ni hasara tupu.Mwanamke sharti uwe na staha sio mdomo unatoa maneno machafu kama vyoo vya stendi
Khantwe Dinazarde nifah njooni muone mdada wa mujini.Sasa my dia ram kayenze yetu kuna watu kama hawa?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu aliewakashfu watoto wa Obama hawajavaa vizuri amejihuzuru kina maslahi gani ya umma pale?
Yule amekosoa mamlaka ya juu yake,na ili aweze kutetea vizuri hoja yake ni lazima ajiudhuru nafasi yake! Ni km Mkuu wa wilaya hapa kwetu aamue kumkosoa kikwete,ili aeleweke lazima aachie ngazi kwanza.
 
Imbombo ngafu.....loh kuna akili zenye akili na nyingine ni zenye matope,ya huyu dada ina matope tena yale mazitoooo!!! Mwe mwe mwe!! Hata kama ni maumivu ya kuachwa aisee haiwezi kuwa hivi,au anatumika kumchafua ili mwakani asipate ubunge maana kuna mkakati wa kulinyang'anya jimbo lake.
 
Unamkumbuka rais wa bank ya dunia alijihuzuru kwa kashfa ya kudate na Secretary wake? Unaikumbuka kashfa ya Bill Clinton?
 
Sehemu ya 6

Akawa ana vuta na mm navuta wkt tuna vuta nikazima kabisa sikupata fahamu mpaka asubuhi yaani sielewi mpaka leo ile bangi ni bangi tu au ilikua na nini au labda kwa kuwa nilichanganya na ulevi sijui maana sina uzoefu...asubuhi nilivyo amka nikajikuta sijielewi nikawa nawaza majibu sipati nikaangalia chini nikakuta CONDOOM za kutosha Lkn ni kama zimefunguliwa tu hazija tumika,nikamuuliza mbona CONDOOM zinaoneka hazijatumika ? Akanijibu nilikua nimelewa sana nikawa namvua Nasema kwamba zina nichubua, nikaa kimya kwanza kwa muda nikawa na waza Kama ni kweli nilisema sikupata jibu maana nilikua sijielewi wkt wa kitendo kizima Lkn nikapata swali nikamuuliza , sawa mm nilikua nimelewa nikakataa JE ? Wewe ulikua hujalewa Kama mm kwa nini ulikibali ? Akaniambia kila akitaka kuvaa mimi na mkataza... Dah!(nilihisi amenisingizia) Kwa kweli haikuingia akilini kwa sababu kwanza sikuamini Kama nilisema kwa sababu ktk safari yangu ya maisha mm nimejichunga sana Lkn sikuweza kumlaumu kwa sababu tendo lilikua limeshatokea zaidi nilijilaumu mm kulewa kupita kiasi pia nili mlaumu cousin wangu kwa nini ktk hali Kama ile aliiniacha na mwanaume... Nilisikitika sana sana nilijiona nimejikosea sana JIBU nililopata nisubiri miezi mitatu ifike nikapime nipate uhakika wa afya yangu maisha yangu yaendelee! Akauniuliza Jimmy ni nani ? Ni kashtuka amemujuaje.. Na mm nikamwambia jimmy umemjuje ? Akasema wkt tunafanya sex ndio nilio kuwa na mtaja nilizani yeye ndio anae nipa mautamu hahahaaa kweli nilicheka sana sikuona aibu kwa sababu kwa mm yeye alikua mpita njia tu... Nika mwambia Jimmy ni kijana yuko dar natokaga nae na nimezoea kufanya nae sex .. na kawaida ya kufanya hivyo! Halafu nikamwambia kwa kuwa wewe umefanya sex na mm inabidi nikwambie kuwa wkt natoka dar nakuja huku alinipigia cm akaniambia ana maumivu wkt wa kukojoa na alipata ugonjwa wa zinaa sasa mm sijisikii Kama naumwa na sijui huo ugonjwa kaupataje... Nimemwambia hivyo kwa sababu Kama akipata huo ugonjwa ajue amepata wapi! Nae akapata mshtuko Lkn akashindwa kunilaumu maana na yeye alifanya sex bila CONDOOM kizembe kwa hiyo wote tukaa kimya... Akaniliza na UKIMWI je? Wkt huo na mm ndio swali liliopo kichwani.... ITAENDELEA

Asee kwa hiyo ana.gono au nimesoma.vibaya jimmy yeye ni mpenziwe au mtu wa kumshusha mshawasha tu kuna watu hamnazo dunia hii kabisa nina uhakika kichwan kwake kumejaa mifinyofinyi mwehu kweli
 
Imbombo ngafu.....loh kuna akili zenye akili na nyingine ni zenye matope,ya huyu dada ina matope tena yale mazitoooo!!! Mwe mwe mwe!! Hata kama ni maumivu ya kuachwa aisee haiwezi kuwa hivi,au anatumika kumchafua ili mwakani asipate ubunge maana kuna mkakati wa kulinyang'anya jimbo lake.

Siyo mambo ya kisiasa akiri yake mbovu tu! Ana ile destuli ya kusema ukimwaga mboga nakanyaga ugari.
 
yani angetunga kitabu kabisa apeleke shuleni mana inafundisha kweli kweli
 
Halafu huyu dada ni muongo ametumwa tu kumchafua sugu,kwa SBB kwenye maelezo take anajichanganya
1)kwanza mwanzoni kasema alikuwa na boyfriend wake yuko nje ya nchi,sasa hivyo alikuwa kama yuko single,sasa huyo jimmy mbona hakumsema??hii inatupa jibu yeye ni kahaba kama makahaba wengine,atakaemuopoa ndo huyo huyo!!
2)kuna sehem kasema ye alikuwa MTU wa kujichunga hivyo sugu alipotembea nae bila kinga alijilaumu!!sasa kama alikuwa MTU wa kujichunga iweje awe na wasiwasi wa kuwa kaambukizwa gonjwa LA zinaa na jimmy kama kweli ye anatumiaga condom?kama sio pepo LA ngono linamtesa?
3)pia anasema anamlaumu cousin wake kumwacha na mwanaume akiwa amelewa wakati kule mwanzo amesema siku ya kwanza kukutana na sugu walifanya na alien joy sana,sasa siku ya pili anamlaumu cousin wake,sasa alitakacousin wake afanyeje zaidi za kumkabidhisha kwa mweshimiwa?
4)kwanza from the beggining amesema sugu alisema anataka kum.......,na Kweli akafanya hivyo,sasa anachokuja kutusimulia tufanyeje ikiwa ni umalaya wake ulimpeleka na tamaa zake!!!

Inaonekana katumwa na story yake katunga kumfedhehesha sugu,na kama ni ya kweli yeye ndo alijirahisisha kama fungu la bamia gengeni.
 
Back
Top Bottom