kichunafk
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 992
- 479
Aiseee....kwa hiyo anahadithia hivyo ili iweje labda
mfa maji shosti, kamwe haishi kutapatapa.
Aiseee....kwa hiyo anahadithia hivyo ili iweje labda
miss neddy ni mdogo wake...wifi yake wa pekee ni mimi hapa...lol
mfa maji shosti, kamwe haishi kutapatapa.
Nashukuru maana Honey Faith hajawahi kinitambulisha nasubiri watoto walale maana Epson inayofuata ni ya wakubwa tu.
Huyu faiza siyo mzima kabisaaaaa.
Ana bacteria kwenye kibichwa chake haaa
ila fundisho kwa wanaume muwe mnaangalia wanawake wa kulala nao na kuzaa nao...
Haaaaa too much sasa au ndo kidonda cha kuachwa anakipoza
miss neddy ni mdogo wake...wifi yake wa pekee ni mimi hapa...lol
Mi natamani kujua umri wake
Nashukuru maana Honey Faith hajawahi kinitambulisha nasubiri watoto walale maana Epson inayofuata ni ya wakubwa tu.
Kazeee kale si wakaona kamekomaa...
Kameshakaa uchinani life imempiga amerudi...
Halafu namanga duka lake lipo sehemu gani?
Yaani hakutegeemea kama angezaa na sugu.
Kweli ushamba mzigo lol
Muite basi wifi yako miss neddy na dada yako ram waje wasome maana huko mbele ni balaa.
miss neddy na ram njooni huku mnaitwa msome watu walivyokuwa wanatongozana
It is quite clear that we, Tanzanians, DO NOT want OUR country to enter in the East African Federation.
Those friends of ours who post something about Zanzibar problem actually UNDERLINES why we DO NOT WANT to enter the federation: we have problems to sort out in our EXISTING union. Until we do that, we cannot complicate the issues further by joining yet another Union. For that matter, we WISH Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi success in the east africa federation -- where we will be able to learn from THEM a thing or two on how to iron out problems in a union. They can go on without Tanzania, can't they?
Continue posting about Tanganyika-Zanzibar union problems, the posts help awaken some persons who somehow have forgorten union problems, and want to bring into Tanzania even worse woes of east africa federation.
Long live Tanzania
http://mlenge.blog.com
Mlenge
Imeanza lini hii jamani
Nimekuja, ngoja nijisevie
Thank u my wii..luv u mpaka nahisi kizunguzungu
naona bado haamini kama kaolewa na mr.mbili
Mbona katumia lugha rahisi sana,amesema amezoea kutongozwa kistaarabu,sasa jiulize kwanini asitoe kwanza story za hao wastaarabu akaanza na huyu?,na hao wastaarabu wake kwanini walimtema/aliwatema?