Sehemu ya 5
Nikamwambia mimi sinywagi hivyo pombe tena kwa mfurulizo hivyo kumbe yeye akadhani na act, akaagiza JD bahati mbaya pale walukuwa hawana ya kupima ikaletwa chupa kubwa ya JD na mimi kawaida yangu nakunywa double 3 nakuwa fresh na unakuwa kipimo changu, basi kinywaji kikaja na tukaendelea kunywa akawa ananiuliza sasa unafanya nini nikawa najieleza nikamwambia mimi nilikuwa mfanya biashara na duka pale Namanga lakini sasa ni producer, akaniuliza wa nini nikamwambia wa movie, na kipindi hicho movie yangu ya Tough life ndiyo ilikuwa imeingia sokoni, akaniuliza inalipa? Ndiyo lakini wamenipa 10m na wameniahidi kuniongezea nikipeleka kazi nyingine nitalipwa zaidi na ndiyo hela niliyolipwa na Steps.
Basi huku vinywaji vinaendelea mpaka time ya disco imefika nikajikuta kipimo kimepitiliza maana nilikuwa najipimia mwenyewe.
Nilienda club nikiwa nimelewa sana kiasi ambacho nilisahai kama nimekija na mtu wa aina gani hapo ndipo alipoanza kujua kuwa kweli mimi ni ngeni kwenye ulevi.
Mwisho wa yote ilibidi atole aende kwenye gari akanisubiri maana alikuwa anaogopa scandal, alimwambia cousin wangu hivyo, sasa aliponiambia twende wakati huo pombe ndiyo usipime na music ndiyo usipime, aliponiambia twende jibu lake lilikuwa hivi.....
Wewee! Wewee! Nani bwana cheo chako huko kazini kwako siyo hapa sawa???
Ndiyo akaamua aende kunisubiri kwenye gari.
Sasa cousin alipoona nazidi kulewa sana ilibidi aniondoe kwa nguvu mpaka mwenye gari la huyo jamaaakanikabidhisha na kuondoka kitu ambacho namlaumu kila siku.
Kwahiyo nilipofika kwenye gari nilizima na sikuelewa chochote baada ya hapo nakumbuka tulipofika hotelini kwake aliniamsha na sikuamka alinibeba mpaka kwenye ngazi nilikaana nae akipimzika maana ilikuwa ghorofa ya tatu akanibeba tena mpaka chumbani nikajikuta niko ndani akiri ikarudi kutokana na mazingila, mala akawasha bhangi tukaanza kuvuta...
Itaendelea.......