great queen
Member
- Nov 21, 2014
- 13
- 1
kweli mpaka sasa sijapata lengo lake huyu faidha ni nn,,is it umaarufu,kumchafua sugu au ni nini,,hii story itamaffect MTT wao badae,,,in short anakosea Sana',,,mheshimiwa acmjibu chochote huyu limbukeni,,
Usihofu nitaweka niko barabarani kwa sasa.
Nilikuwa kigamboni foleni ktk phanton ni sheeeedaa!
bila shaka ushafika tupia story basi twakusubiri..
Tukalale zetu maana mleta story naona leo hana mpango wakutuletea kuhusu huyo malaya maana naona hayupo online nadhani bundle limeisha tusubiri kesho
Amka uendelee kusoma...kashaweka bundle
Si ndo kakuamsha hapo auKwanini sasa haujaniita?
Wanawake hebu fanyeni jitihada za kumpima akili huyu kiumbe mwenzenu, anajidharirisha safari yenu ya kutaka haki sawa, heshima katika jamii ni ngumu mno mnakatishana tamaa wenyewe kwa wenyewe huyu ni zaid ya kupiga picha za utupu
Huyu si mwanamke ni kioja, wanawake wanastaha hata kama anawanaume kumi huwei kujua na wala hawajitangazi kama huyu hafai kwa matumizi ya wanaume hata kuwa mchepuko hana sifaMkuu kwa mimi bora nibaki single forever kulikuwa kuwa na mwanamke mwenye akili kama hizi.
-
Si ndo kakuamsha hapo au
Kwanini sasa haujaniita?
Nimekunyang'anya hadi shuka lakini wapi hukutaka kuamka...!!!
Anhaa ulitaka akutekenye kidogo yakheee aisee!Nilitaka aniamshe kwa style nyingine sio hiyo ananiamsha kama sijui nani tu.....lol
Huyu si mwanamke ni kioja, wanawake wanastaha hata kama anawanaume kumi huwei kujua na wala hawajitangazi kama huyu hafai kwa matumizi ya wanaume hata kuwa mchepuko hana sifa