MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Mkuu endelea kuweka vipande, Kamanda Shigongo anaipokea hivi karibuni, Soon tutaisoma kwenye RISASI.
ni shidaaa
tuta jifunza pamoja kupitia makosa yangu na namna ya kuepuka ili tuweze kujenga msingi mizuri na namna ya kujiondoa stress ukiwa kwenye wakati mgumu .....
Honey Faith hebu ukuje huku kuna breaking news..
Sehemu ya 10
Nikaondoka nikiwa na uchungu+aibu msichana mzuri Kama mm mwenye akili kweli nimepata GONO ?  nililia sana sana.. Na kitu kilicho kua kina nipa majonzi ni ugonjwa tena wa GONO dah! Aibu kubwa sana special kwa umri wangu  kwa kweli ilikua aibu kubwa nika jiuliza yaani naachwa kwa ajili ya GONO ?! Du yaani lililikua likiniijia neno GONO ! Machozi yananitoka ya uchungu na aibu! Yaani ilikua ni fedhea! Nikaamua kuondoka kurudi nyumbani.. Njiani nikampigia Jim kwa hasira sana nikamwambia umeniambikiza tena! Jim akabisha ikabidi nimwambie kwamba na mm nimemuambikiza mtu na lzm kitakua lime toka kwako kwa sababu mara ya kwanza tumejitibu sasa hii ni mara ya pili na mm sija toka na yoyote zaidi ya kwako mpaka nikatoka na huyu kwa hiyo kwa namna yoyote wewe ndio umenipa maana ulipo niambia unaumwa na nilipo toka na huyu hakuumwa Lkn bado nilijitibu na wewe kwa sababu tuko pamoja lkn sasa ndio nimepata hakika kuwa ni wewe ndio ulio nipa! Jim nae alijikaza tu kujisemesha Lkn mwisho wa siku ukweli ni kwamba ugonjwa ulitoka kwake! Basi nikamwambia kwa aibu niliopata nikachanganya na matatizo mengine nikapata jibu huyu Jim na mm basi tuachane kwa sababu kwanza alikua mmbishi kuvaa CONDOOM sana sana kuna wkt alikua ana anavya ktk ya kitendo na sex ilikua so good ilikua sio rahisi kukwepa japo nilikua najikaza saa nyingine Lkn mwisho nikaona sex sio kila kitu ktk maisha yangu naweza nikajikataza na maisha yanaendelea .. Kiukweli toka niachane nae mpaka leo bado sijapata kijana anae jua Kama yeye wkt mwingine natamani special nao Niko single Lkn nikifikiria tu magonjwa na nini basi najikataza!!! Sasa nilipo fika home nikalia sana kwa uchungu mno nikamhadisia Farida akaniambia aibu kubwa ! Basi akisema hivyo dah  namwambia mbaya zaidi unakua na histori kwamba uliachwaga kwa ajili ya GONO  mungu wangu naikumbuka ile siku Kama leo yaani nililia kwa uchungu mno ! Hlf sikua tayari kuachana nae nilikua nikiwa nae na enjoy sana sasa ndio naanza kupata raha ndio nimepata Janga dah ilikua siku mbaya sana yaani dah! Basi wkt nimekaa na nguo zile zile nawaza huku nalia Mara nikaona simu inaitwa jina Joseph  nikashtuka .. ITAENDELEA
Huyu Faiza anajua anachokifanya. Kuandika kitabu sidhani kama ni makosa hata Sugu aliandika kitabu cha historia ya maisha yake na wabaya wake aliwa highlight..pamoja na mademu aliotoka nao including alivyoachwa na mtoto wa waziri mstaafu. Aliandika pia kuwa majani alikuwa akipata.
Hivyo anachokifanya Faiza ni same. Tofauti Faiza analenga zaidi mahusiano yao yalivyokuwa...na pia labda la kumshauri ni kwamba anatumia lugha kali bila kupunguza makali ya maneno yake pengine ni kutokana na what she went through kwenye hiyo relationship. Sisi hatujui pengine alipitia mazito.
Tamaduni zetu za kiafrika tunaficha sana ukweli..mtu anaweza kuwa anaumizwa kwenye mahusiano anaona aibu kusema eti anajidhalilisha...hata mafunzo juu ya magonjwa ya zinaa wazazi wanaona aibu kuwapa darasa watoto wao matokeo yake ngono zembe zinashamiri.
Kuna kitu cha kujifunza toka kwa huyu dada...hapo kwenye kuingia kwenye mahusiano ya watu wengi na bila kutumia kinga matokeo yake gono na hata HIV. Pia huyo Mh Mbunge naye kuna aliyojifunza kutokana na hayo mahusiano..maana aliingia kwenye mahusiano na kuingia kwenye tendo bila ya kumfahamu vzr huyo dada na la hatari zaidi kufanya tendo bila kinga. Na pengine kuna mengi ya kujifunza tusubiri stori ifike mwisho.
Maisha ni shule hivyo tunajifunza mengi kutoka kwa wale tunaoishi nao kwa kusimuliwa na kushuhudia maisha yao, tunajifunza mazuri na mabaya. Tusimlaumu sana huyu dada let her tell us her life experience ili tupate kujifunza kitu na kuwafunza wengine especially vijana. MTAZAMO WANGU MIMI