Love story (True story)

Love story (True story)

Mjinga sana huyo,basi kikitoka utuendelezee hapa
Sina muda/pesa za kununua huo upuuzi wake

Haya ila nafanya juhudi za kumbembeleza aendelee, nikifanikiwa nitaweka tena hapa.
 
Sehemu ya 8.

Nilivyo fika nikaenda kwa jim nikamuuliza kuhusu ugonjwa ameupataje ? majibu haya kunirizisha mwisho wa siku ikabidi tuende hospital tukapa tiba wote wawili japo sikua na hakika Kama naumwa na kule dom jamaa alikua fresh hakuumwa kwa hiyo jim alijua mwenyewe alipo pata ugonjwa huo.. Kuanzia hapo nikawa nimepata uoga pia kuhusu yeye! Sasa siku moja ni kamuuliza jim ikitokea nimepata mimba itakuaje ?
Akanijibu ntakuacha  Oh! Okay nikaa kimya kidogo
Akasema kwani mm sio mwanaume? Naweza kukupa mimba pia kwa nn sio mm awe mwingine? mm mwenyewe sina mtoto..
Nikawaza nawaza maisha yake,maisha yangu mmh! Kila nikiwaza jibu linakuja no! Hapana na sababu za kupata jibu hilo ni kwamba kijana alikua Hana kazi na sioni Kama mchapa Kazi na sioni Kama ana ndoto yaani kiufupi nikawa sioni Kama alikua ni mwenye muelekeo yaani yuko yuko tu simuelewi nikawa najifikiri tuta mleaje huyo mtoto na mm nilikua na ndoto za maisha ninayo taka kumpa mwanangu basi kila nikifika hapo nachoka kabisa nguvu ya kuzaa inaisha! Lkn tofauti na hayo kijana alikua mstaarabu sana , tabia nzuri na ana mapenzi, ana nisikiliza yaani ana sifa nyingi tu na zaidi alikua ana nipa raha kwenu kufanya mapenzi ( ILOVE SEX ) ... Lkn kitu kilicho kua kin niboa ni kwamba hafanyi kazi Sasa mm siwezi kuwa na mwanaume ambae hafanyi kazi Yaani nilikua naweza kutoka kwake asubuhi nikaenda kwenye mishe mishe town Lkn nikirud i na mkuta kalala labda hajaoga toka nilivyo muacha dah! ra kwenye maisha yangu ni mwanaume mvivu na mchafu nachukia sana ! Nikawa namvumilia coz when it comes to sex  ... na all that time jamaa wa Dodoma akawa ana nipigia cm wkt mwingine akija dar naenda kumuona sasa nikiwa na huyu tunaongelea mtoto ! Na sifa ninazo taka kwa mtu ninae taka kuzaa nae anazo! Kwanza ana muelekeo wa maisha,ana malengo, umri wake sahihi,ana Kazi nzuri na nikiongea nae naona vitu anavyo penda kuhusu ukuaji wa mtoto na mm napenda kwa hiyo maongezi yetu mengi ya kawa yana lingana! Lkn sasa hakua na time yaani naweza niYaani Kama kuna kitu kina kekamuona miezi kazaa Mara moja yaani juu kwa juu tu na nikimuona leo labda mpaka miezi ipite
so tukawa hatuko karibu labda akiwa dar mm Niko nje ya nchi tukawa tunapishana.
Itaendelea......
kwenye RED hapo,Me tujifunze kitu hapo ndo bwana jimmy alipokosea na mwenye busara hujifunza kwa makosa ya mwenzake... manaake nyuzi za Me kulia lia huku JF zimezid kuliko za Ke sikuhizi,So ukichapiwa kuwa mpole kama Lowassa.sio stori tu ni somo pia,Thanks mkuu Rich Pol
 
Mkuu huyu Faiza atatoa kitabu miezi michache kabla ya uchaguzi, mbaya zaidi hafichi kitu yaani kila kitu anaweka wazi, kiafrica africa havina impact kibwa ila heshima yake Sugu itashuka sana, cha msingi wakae wayaongee yaishe walee mtoto wao.

Hawa wanasiasa wana uzoefu mzuri tu wa kukabiliana na mambo kama haya..hivyo sidhani kama inaweza kuwa na impact kubwa kwenye position yake. Jamaa atapangua tu ni mwanasiasa ingawa bado mchanga lakini pia ni msanii.
 
This is mental blackmail....Sugu will remain Sugu until the end of the story.
Above all in this game Sugu is invincible,for his social credibility and political personality is beyond public demand from this story.
Sorry for the stupid lady.....“your too late to apologise..u have lost your diginity ..your energy and time to tell the world about your insanity"
Keep on with your project-We shall see what we shall see!!
 
Duh?huyu mwanamke hajielewi.Yani nikatoe hela yangu kununua utumbo wake?

Halafu mbona unaniamsha kijeshi hivyo??umesahau ushauri wa daudi.........

Nimeufuata sana ndio maana umeamka mwepesiiiii...

Ushauri wa daudi hauishii kwenye kuamka tu...think HF thinkkkk....
 
Mkuu huyu Faiza atatoa kitabu miezi michache kabla ya uchaguzi, mbaya zaidi hafichi kitu yaani kila kitu anaweka wazi, kiafrica africa havina impact kibwa ila heshima yake Sugu itashuka sana, cha msingi wakae wayaongee yaishe walee mtoto wao.

Kwahiyo kumbe yeye analenga uchaguzi!!!!!!! na atazidi kuumia kama ni hivyo muheshimiwa bado atapeta na yeye atazidi kuwa kituko,mshauri vizuri
 
Kwahiyo kumbe yeye analenga uchaguzi!!!!!!! na atazidi kuumia kama ni hivyo muheshimiwa bado atapeta na yeye atazidi kuwa kituko,mshauri vizuri

Hajamaanisha anasubiri uchaguzi ila amepata mfadhiri anajiandaa kutoa kitabu ambacho kitakuwa tayari mwezi wa tano.
 
Hajamaanisha anasubiri uchaguzi ila amepata mfadhiri anajiandaa kutoa kitabu ambacho kitakuwa tayari mwezi wa tano.

Ndivyo ilivyo na kama siyo penzi la Sugu kumchanganya basi kuna mtu anamtumia bila yeye kujua,na hata wewe umeandika kuwa kitabu kitatoka mwezi wa 5 kabla ya uchaguzi,mwanamke mpumbavu na wa pekee ndie anaweza kutoa kitabu cha namna hii.
 
Sijui kama anatumiwa but najua mwakani kuna homa ya uchaguzi, hofu yangu kitamshushia heshima yake sugu maana kama alivosema huko mbele ni shiida ameanika kila kitu, ushauri wangu aongee nae maana ni tayari ni mzazi mwenzake badala ya kujidhalilisha hivi.
 
Hata angeandika nini,"mwanamke atabaki kuwa mwanamke na mwanaume atabaki kuwa mwanaume" hivyo haiwezi shusha hadhi ya mwanaume yeyote hata kama asingekuwa mwanasiasa.Mpe pole
 
Back
Top Bottom