LOVE STORY --- jukwaa huru!

LOVE STORY --- jukwaa huru!

Ngoja nifikiri, kwani ni zaidi ya story
 
.....nilikuwa ninamduu dada mtu....mdogo mtu akanipenda akamzidi kete dadake......kwa bahati mbaya tukapendana tukaingia kwenye wimbi zito la mahaba na mdogo mtu...KWELI MAPENZI MAGUMU, CHUMA LAINI......dada mtu akalalamika wee ,akamtishia mdogo wake wee,ikashindikana......sasa ndio nipo na mdogo mtu mwaka wa tano sasa.....hatujutii...sasa dada kawa rafiki amekubali yaishe!
 
Wangu alikua anajiuza mi nikawa mteja wake niliemvutia kuliko wote kwa sasa ni wife mtulivu sana na kanizalia watoto wawili
 
Nilimtongoza, akakubali hajajuta kunikubalia penzi lake!
Hongera kwa ujasiri wengine wanaugulia kimoyo moyo, matokeo yake wakiona mwingine kachukua wanaanza kulia na kuanza mbinu za kuvunja uhusiano wa mwanamke mwenzake.
 
Wangu alikua anajiuza mi nikawa mteja wake niliemvutia kuliko wote kwa sasa ni wife mtulivu sana na kanizalia watoto wawili
Hii ni kweli kwani sio vicheche wote wanapenda wanayoyafanya. Wakipata wanatulia.
 
Kwa akina sisi tuliopitia kwingi kabla ya kutulia na mmoja tuweke stori ipi?
 
wangu nilifungishwa ndoa ya mkeka baada ya mzee wake kuniona nimesimama naye chobingo namwaga mistar
 
yapata miaka kumi na tatu iliyopita nikiwa mpelelezi katika jeshi letu linalohusiaka na masualay usalama wa raia alitokea mdada mmoja ambaye alikuja kuanza kazi (first appointment) na wenzake toka chuo cha mafunzo ya usalama wa raia kule moshi. sIKUJUA SABABU HASA ila kiukweli nilivutiwa naye sana na mara nyingi nilikuwa nikimfikiria sana. Kuna wakati wakati ule wao wakijipanga kwa ajiliya morning parade basi miye nilikuwa nikichungulia dirishani lakini akili na fikra zangu zote zilikuwa kwake. iKATOKEA SIKU MOJA TUKAWA TWACHEZA NAO KARATA katika Bwalo ambao ndo nilikuwa naishi. Wakati tukicheza karata nilikuwa nafikiria nitamuanzaje kwani kwa muda wa yapata miaka miwili nilikuwa sijaona ndani na kwa kuwa nilikwenda huko mafunzo mara tu baada ya kuhitimu mafunzo ya kidato cha sita. Na kwa kweli nilikuwa nikiwaogopa sana akina dada. Nilimuomba tupate wasaa wa kuongea wakati mwingine na akanikubalia. Toka siku nilipoongea naye sikuwa kuijutia nafsi yangu kwani hivi sasa tuna familia ya watoto wawili mkubwa darasa la nne na mdogo chekechea na maisha yanasonga mbele. I love her very much the same way I loved her before!!!!!
 
umeona eeh; halafu alivyo na aibu unafikiri atakuja hivi punde; mpaka siku 2 zipite ndio atakuja kuguna ule mguno wake ule wa mmmmmmmmmmhhhhhhhhhh.

Mambo shostito?
ahahahahhahahhahahahhahahhahahhahahh uuuwih! Kaunga mi simo! The Boss eti ya kweli haya!?????
najua utapiga mmmmmmmhhhhhhh!
 
Last edited by a moderator:
yapata miaka kumi na tatu iliyopita nikiwa mpelelezi katika jeshi letu linalohusiaka na masualay usalama wa raia alitokea mdada mmoja ambaye alikuja kuanza kazi (first appointment) na wenzake toka chuo cha mafunzo ya usalama wa raia kule moshi. sIKUJUA SABABU HASA ila kiukweli nilivutiwa naye sana na mara nyingi nilikuwa nikimfikiria sana. Kuna wakati wakati ule wao wakijipanga kwa ajiliya morning parade basi miye nilikuwa nikichungulia dirishani lakini akili na fikra zangu zote zilikuwa kwake. iKATOKEA SIKU MOJA TUKAWA TWACHEZA NAO KARATA katika Bwalo ambao ndo nilikuwa naishi. Wakati tukicheza karata nilikuwa nafikiria nitamuanzaje kwani kwa muda wa yapata miaka miwili nilikuwa sijaona ndani na kwa kuwa nilikwenda huko mafunzo mara tu baada ya kuhitimu mafunzo ya kidato cha sita. Na kwa kweli nilikuwa nikiwaogopa sana akina dada. Nilimuomba tupate wasaa wa kuongea wakati mwingine na akanikubalia. Toka siku nilipoongea naye sikuwa kuijutia nafsi yangu kwani hivi sasa tuna familia ya watoto wawili mkubwa darasa la nne na mdogo chekechea na maisha yanasonga mbele. I love her very much the same way I loved her before!!!!!

yeah yeah yeah safi sana safi sana mkuu!!

copy: kwa wale wote wanaoleta masikhara!

plz masikhra tupa kule !!
 
Mi nilimpiga gwara wakati anatoka mashineni bila unga kumwagika, wakati bado anagarara chini kwa hamaki, nikamkamata kama jogoo anavyombana mtetee...binti akatulia tulii na akaniambia "kwani ni sambi sangu si ni sambi sako we fanya tu"...tokea siku hiyo akawa mchumba wangu, sasa hivi yupo hapo nje anapepeta mtama!
 
Nilishawaambiaga tena tulikaa sehemu moja uwanja wa taifa simba wakafunga goli dakika za mwisho basi katika kushangilia tukajikuta tumekumbatiana!
Hadi leo hatujutii maamuzi yetu!

.....nilikuwa ninamduu dada mtu....mdogo mtu akanipenda akamzidi kete dadake......kwa bahati mbaya tukapendana tukaingia kwenye wimbi zito la mahaba na mdogo mtu...KWELI MAPENZI MAGUMU, CHUMA LAINI......dada mtu akalalamika wee ,akamtishia mdogo wake wee,ikashindikana......sasa ndio nipo na mdogo mtu mwaka wa tano sasa.....hatujutii...sasa dada kawa rafiki amekubali yaishe!

Tulikutana njian

Wangu alikua anajiuza mi nikawa mteja wake niliemvutia kuliko wote kwa sasa ni wife mtulivu sana na kanizalia watoto wawili

wangu nilifungishwa ndoa ya mkeka baada ya mzee wake kuniona nimesimama naye chobingo namwaga mistar

yapata miaka kumi na tatu iliyopita nikiwa mpelelezi katika jeshi letu linalohusiaka na masualay usalama wa raia alitokea mdada mmoja ambaye alikuja kuanza kazi (first appointment) na wenzake toka chuo cha mafunzo ya usalama wa raia kule moshi. sIKUJUA SABABU HASA ila kiukweli nilivutiwa naye sana na mara nyingi nilikuwa nikimfikiria sana. Kuna wakati wakati ule wao wakijipanga kwa ajiliya morning parade basi miye nilikuwa nikichungulia dirishani lakini akili na fikra zangu zote zilikuwa kwake. iKATOKEA SIKU MOJA TUKAWA TWACHEZA NAO KARATA katika Bwalo ambao ndo nilikuwa naishi. Wakati tukicheza karata nilikuwa nafikiria nitamuanzaje kwani kwa muda wa yapata miaka miwili nilikuwa sijaona ndani na kwa kuwa nilikwenda huko mafunzo mara tu baada ya kuhitimu mafunzo ya kidato cha sita. Na kwa kweli nilikuwa nikiwaogopa sana akina dada. Nilimuomba tupate wasaa wa kuongea wakati mwingine na akanikubalia. Toka siku nilipoongea naye sikuwa kuijutia nafsi yangu kwani hivi sasa tuna familia ya watoto wawili mkubwa darasa la nne na mdogo chekechea na maisha yanasonga mbele. I love her very much the same way I loved her before!!!!!

Mi nilimpiga gwara wakati anatoka mashineni bila unga kumwagika, wakati bado anagarara chini kwa hamaki, nikamkamata kama jogoo anavyombana mtetee...binti akatulia tulii na akaniambia "kwa ni sambi sangu si ni sambi sako we fanya tu"...tokea siku hiyo akawa mchumba wangu, sasa hivi yupo hapo nje anapepeta mtama!

Wengi wenu mmekuwa serious kidogo, ila kuna wengi pia hapa mmekuwa no serious!

plz masikhara tupa kule!

jikumbushe mchakato wako wa mahusiano! share na wengine pia!

plz plz plz plz masikhara tupa kule!
 
Back
Top Bottom