LOVE STORY --- jukwaa huru!

LOVE STORY --- jukwaa huru!

ilikua ni tour ile ya ngoro ngoro kajifanya kaoga wa wanyamapori akawa ananikumbatia mazoea yalipozidi tukala tunda cha ajabu masomo yalimpeleka mbali.
 
nilimponda sana na kusema siwezi kutoka naye,
nikasema girlfrend wake atakua ana shida saana
sa hivi ndo wa ubavu,hoi taabani juu ya pendo lake
 
Ishu imeanzia kwenye vocha nime kamaindi nikampa buku 5000 nikamuambia kanunue tigo ingiza kwenye cm yoko kisha nipunguzie buku 3000 mbili na wewe utumie ndio mchezo ukaanzia hapo ninako mpaka sasa.
 
Ishu imeanzia kwenye vocha nime kamaindi nikampa buku 5000 nikamuambia kanunue tigo ingiza kwenye cm yoko kisha nipunguzie buku 3000 mbili na wewe utumie ndio mchezo ukaanzia hapo ninako mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom