LOVE STORY --- jukwaa huru!

LOVE STORY --- jukwaa huru!

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,132
Members wote!

Naomba kila member aeleze story kwa kadri atakavyofeel aeleze mchakato/jinsi alivyompata mwenza wake!

Inaweza ikawa sasa hv bado upo nae, au mmeshaachana kila mtu na maisha yake!

Just a story! story za mapenzi hutukumbusha mbali sana wadau!

NB:
masikhara tupe kule!

Karibuni!
 
Mimi nilifikiri unatuletea stori, kumbe unatutaka tutoe stori!! Nionavyo mimi kichwa cha habari hakiendani na kilichopo ndani! Kajipange upya!?
 
Mimi nilifikiri unatuletea stori, kumbe unatutaka tutoe stori!! Nionavyo mimi kichwa cha habari hakiendani na kilichopo ndani! Kajipange upya!?

nikajipange upya, nalipwa?????
 
Tulikutana kisimani kata yake ilikatika kamba ikadumbukia nikampa ya kwangu.
 
umejuaje kama hajajuta labda?

najua kwa aloniambia, asipomaanisha anachokisema ni tatizo lake si langu!
Unaonekana hufurahishwi na mapenzi ambayo yako smooth eeh, kukiwa na visanga ndio reality yako nini??????
 
The Boss hebu njoo huku, uwaambie kama wajuta nilivyokutokea live bila kung'ata nyasi wala kutafuna kucha!
 
Last edited by a moderator:
najua kwa aloniambia, asipomaanisha anachokisema ni tatizo lake si langu!
Unaonekana hufurahishwi na mapenzi ambayo yako smooth eeh, kukiwa na visanga ndio reality yako nini??????

nimesema kwasababu hutakiwi kuusemea moyo wa mtu, especially if its us women!!
 
nimesema kwasababu hutakiwi kuusemea moyo wa mtu, especially if its us women!!

nani katunga hiyo AMRI/SHERIA?
Niki-repeat alichosema na nikisema wazi si maneno yangu ni yake, kama anadanganya mimi nakuwa sijadanganya.
 
ahahhahahahhah itakuwa ye ndo aling'ata nyasi!

umeona eeh; halafu alivyo na aibu unafikiri atakuja hivi punde; mpaka siku 2 zipite ndio atakuja kuguna ule mguno wake ule wa mmmmmmmmmmhhhhhhhhhh.

Mambo shostito?
 
Nilishawaambiaga tena tulikaa sehemu moja uwanja wa taifa simba wakafunga goli dakika za mwisho basi katika kushangilia tukajikuta tumekumbatiana!
Hadi leo hatujutii maamuzi yetu!
 
Back
Top Bottom