mapenzi haya...sa nyingine una realise umuhim wa mtu wen she/he is no longer in your life
Hongereni bana
Hahahahaaaa,
am back best, but sio kiviiileeee now ntakuwa nadonyoa donyoa tuu. Tusingetengana siajabu ungekuta tunahali mbaya kiroho ila kutengana kwetu kumerejesha upya kila kitu.
Wasipochafuka watajifunzaje??
Bahati mbaya wengine hata wachafuke vipi bado hawajifunzi...au wakichafuka hawasafishiki....!!
Mshukuru Mungu jamaa network ilikuwa bado reachable!!
Babu DC!!
hahahaaaa ni kwa neema tuu nimekuta bado ipo, thank God aisee.
Babu kwani wewe network huwa inakata haraka?
Kwa wale tuliopigana vitubuti...network ilikuwa inakata within a micro second....
Huwa nawaonea huruma wanavyojaribu kudandia dala dala iliyokwishajaa....na imagine, dala dala, tena ya Mbagala hadi imejaa....
Wewe mshukuru sana Mungu wako, na sasa inabidi uandike haya maneno kila mahali panapowahusu...."EXREMELY FRAGILE...HANDLE WITH EXTRA CARE"....
Nasema hivyo kwa sababu uzee wangu umenifundisha kuwa "ngekewa haidondoki zaidi ya mara moja"
Ubarikiwe sana mpenzi na wengine wote wenye kufaidi kama Babu yao.....lol!!
Babu DC!!
mi sijaelewa vizuri sakapal kwa obama ulikuwa unaishi vipi?..maana inaelekea ulitelekeza kila kitu oversudden!
Sitaki kuingia sana kwenye hii topic yako...nna maswali mengi yasiyo na majibu!
Ila langu moja: Does this mean u r back mentali!??
:faint2: