Love life circle...

Love life circle...

Hujui maana ya ngekewa au unani-weigh (unanipima)???

Babu DC!!

sio tu ngekewa yaani sentensi yote sikuielewa, sikupimi babu kweli nieleweshe ulichomaanisha. Si unajua kuuliza ni nusu ya kufahamu na si ujinga?
 
Katika mapenzi kuna kusamehe, kusahau na kuanza upya,, nanyi ndo mmefanya hayo hongereni.....
 
sio tu ngekewa yaani sentensi yote sikuielewa, sikupimi babu kweli nieleweshe ulichomaanisha. Si unajua kuuliza ni nusu ya kufahamu na si ujinga?


Haya basi,

"Bahati haiji zaidi ya mara moja...."

Umefurahi sasa??

Babu DC!!
 
hahahaaaaa asante rafiki yaani sasa ndo nimejua umuhimu wake baada ya kumpoteza kwa kipindi kirefu.

Alikuachia bei gani wakati anasafiri?
watu8 aliisha onya haya mapenzi y kurudiana sababu ya pesa ahahahaha!

Angekuwa jamaa kachoka na ndiyo binti karudi toka New York anang'aa ma-brothermen wote mle ukumbini wanamtolea macho unadhani angekaa hata moja na huyu X wake aliyechoka?Thubutuuuuuuuu!

Dada karudi kakuta jamaa yupo njema kwenye bank statements zaidi alivyo muacha mwenyewe kapeleka ngozi ahahaha!
 
Last edited by a moderator:
Haya basi,

"Bahati haiji zaidi ya mara moja...."

Umefurahi sasa??

Babu DC!!

Hapo nimeelewa babu asante na nimefurahi sirudii tena kuondoka mautamu yote haya niliyaacha kwa hasira zangu na kuweka maudhi moyoni badala ya furaha na upendo.
 
Habari,

Sikuwahi kuwaza wala kufikiri kuwa iko siku nitakuwa in love feelings again na kum-miss niliyekuwa namuona wa nini.............

Its a long story na ilifika mahali nikaondoka kwangu na kwenda Obama nikijua I will be free again waapi. Kumbe mwenzangu nae alikuwa anatamani nirudi. Nilipata taarifa kuwa wifi yangu anaolewa nikarudi kusherehekea harusi kisha nirudi zangu kwa Obama kwani nilikosana na hubby bali wifi hakuwa kwenye magomvi yetu hivyo sikuona sababu ya mimi kutohudhuria. Kilichotokea hadi sasa sijarudi kwa Obama, najaribu kufupisha watu wakaunganisha dots nikapata matatizo kama yale ya kwanza. Baada ya sherehe niliplan kwenda kulala hoteli kisha asubuhi nikasabahi baadhi ya ndugu s=zangu the next day nirudi kwa Obama, haikuwa hivyo kwani kwenye sherehe tulikaa meza moja na kuongea vizuri tuu kama normal friends tulidance na saa ya kuondoka ukumbini aliniomba nipeleke hotelini kisha yeye aende home maana nilimwambia sitalala kwake nikihofia twaweza gombana. Alinifikisha hotelini na akasema nakusindikiza hadi room maana muda umeenda usije kabwa on corridors, nikacheka wala sikumkatalia wakati napanda ngazi za kuingia hotelini nikajikwaa na nilijikuta nakaa chini hubby aliniokota na kunibeba hadi room kilichoendelea baada ya hapo ni siri ya wakubwa.
Asubuhi nataka kujielezea kaniziba mdomo na kusema twende nyumbani, ndo hadi leo niko kwa hubby wangu. Yaani hapa ana week yuko safarini nimemmiss like never before, he is more than a friend japo tunawasiliana akiwa huko safarini but his presence. Sasa ndo nimeona na kutambua umuhimu wake, sitakaa nifikirie kuondoka home kwangu. Pia nimegundua sometimes u have to let it go so as to learn its value.
I love u hubby mmuah:A S-heart-2:
Sakapal

hongera mate! Huo uhusiano haukupangwa uvunjike bali kuna setting zilikuwa zinatake place 4 better love, safi sana!
 
Dah.......mi nikigombana na hubby nakimbiliaga huko kijijini.......akija ananikuta huko mndeny......nakata makocha.....nipo na mrasho wangu sina wasiwasi........

Cc... Nivea....
hahahahaha Preta unanichekesha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom