rangi ya mtume ndo ipi?
dah,we jamaa mpinzani wangu kwa kila jambo!hata weus lov bite zipo
Usiumize kichwa we nenda tu home bwana!!!
Unaeza kuta wife nyumbani nae ana lavu bite unajipa mawazo bure.....
hahahahahah!!sawa mwana,inshalaah
we kaka fabinyo umeanza lini tabia mbaya? haya njo nikusugue na mchanga zitatoka.
nimerudi jana mkuu!ful kujifichaficha kwanai bado kidooogo,hahhaaa