....love bite zinatokaje jamani?

....love bite zinatokaje jamani?

ukifika home vua gizani afu umwambie mkeo akuwekee lobe bite.

Hatajua zipi zake na zipi si zake

hahahahaa!another Grit thinking!afu huwa haziombwi hizo,ni mzuka halafu wife mzazi hafanyi hayo mambo kwa sasa
 
najua ni masahibu makubwa hayo tena kwa sisi wenye hizi rangi!
Lakini nachukia sana mwanamke anyefanya hivyo. Unajua anakuvizia mazee uko karibu kabisa na mshindo ndo anaanza kukutafuna tafuna (makusudi). huwezi sikia kabisa. Maliza mshindo wako uone kitu alichokufanya. Anafanya hivyo ili aharibu kwa wengine. Hajui kuwa anaharibu hadi home kwa wife. MAMBO YA KISHAMBA SANA LKN

pamoja sana,wewe yeshakukuta haya bila shaka!mbaya sana
 
shukuru Mungu umeoa mkuria, ungeoa mchaga cha moto ungekiona.

dada zangu punguzeni manjonjo kunako 6*6 wengine tuna wake zetu mabondia, msituhatarishie maisha.

View attachment 75198 hivi ndivyo love bite inavyotokea.
 
shukuru Mungu umeoa mkuria, ungeoa mchaga cha moto ungekiona.

dada zangu punguzeni manjonjo kunako 6*6 wengine tuna wake zetu mabondia
, msituhatarishie maisha.

View attachment 75198 hivi ndivyo love bite inavyotokea.

pamoja sana!hiyo red nimewasisitiza wasikie ombi lako mjomba
 
Kamwambie ulipitiwa na kitu ambacho ana allerge nacho ila siyo love bite.
 
ckushauri lolote wacha yakukute, unajijua mwizi halafu hujiwekei mipaka,unajifanya senior bachelor
 
mtu mwenyewe mweusi tiii kama nyago la mmakonde halafu unatuyeyusha una love bites...
 
wapendwa,nlikuwa safari mkoa flani toka j3 iliyopita na j5 ilikuwa nilirudi home acity!huko nikakutana na moja ya 'project' zangu kali za zamani (wat hapened tuyaache),ila mpk leo jmosi nashindwa kurudi home,love bite zimenijaa kifua kizima na zinaonekana waziwazi kutokana na karangi kangu!nikirudi hivi msala,kesi itakuwa kubwa kwa mkurya wangu mama watoto!jamani nazitoaje ili kesho nirudi home?msaada pliz

Haahaahaahaaa🙂. Kama kang'ata sawasawa hapo unalo maana zinachukua muda kuisha kama zimekamata sawasawa!

Siku nyingine mfunge mdomo asikugugune...Usijevunja ndoa kisa kiu ya muda!
 
Haahaahaahaaa🙂. Kama kang'ata sawasawa hapo unalo maana zinachukua muda kuisha kama zimekamata sawasawa!

Siku nyingine mfunge mdomo asikugugune...Usijevunja ndoa kisa kiu ya muda!

hajang'ata kisawa mwana.pamoja sana ntakua makini
 
mtu mwenyewe mweusi tiii kama nyago la mmakonde halafu unatuyeyusha una love bites...

dah,we jamaa mpinzani wangu kwa kila jambo!hata weus lov bite zipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom