labda umejaaliwa sana rangi ya kiafrika,huwezi kujua anachokizungumzia.....
wapendwa,nlikuwa safari mkoa flani toka j3 iliyopita na j5 ilikuwa nilirudi home acity!huko nikakutana na moja ya 'project' zangu kali za zamani (wat hapened tuyaache),ila mpk leo jmosi nashindwa kurudi home,love bite zimenijaa kifua kizima na zinaonekana waziwazi kutokana na karangi kangu!nikirudi hivi msala,kesi itakuwa kubwa kwa mkurya wangu mama watoto!jamani nazitoaje ili kesho nirudi home?msaada pliz