....love bite zinatokaje jamani?

....love bite zinatokaje jamani?

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
3,043
Reaction score
2,243
wapendwa,nlikuwa safari mkoa flani toka j3 iliyopita na j5 ilikuwa nilirudi home acity!huko nikakutana na moja ya 'project' zangu kali za zamani (wat hapened tuyaache),ila mpk leo jmosi nashindwa kurudi home,love bite zimenijaa kifua kizima na zinaonekana waziwazi kutokana na karangi kangu!nikirudi hivi msala,kesi itakuwa kubwa kwa mkurya wangu mama watoto!jamani nazitoaje ili kesho nirudi home?msaada pliz
 
ahahhahahhahhahha!ujinga tuu huo
source ( TAMKO)
 
Last edited by a moderator:
ukifika home vua gizani afu umwambie mkeo akuwekee lobe bite.

Hatajua zipi zake na zipi si zake
 
najua ni masahibu makubwa hayo tena kwa sisi wenye hizi rangi!
Lakini nachukia sana mwanamke anyefanya hivyo. Unajua anakuvizia mazee uko karibu kabisa na mshindo ndo anaanza kukutafuna tafuna (makusudi). huwezi sikia kabisa. Maliza mshindo wako uone kitu alichokufanya. Anafanya hivyo ili aharibu kwa wengine. Hajui kuwa anaharibu hadi home kwa wife. MAMBO YA KISHAMBA SANA LKN
 
wapendwa,nlikuwa safari mkoa flani toka j3 iliyopita na j5 ilikuwa nilirudi home acity!huko nikakutana na moja ya 'project' zangu kali za zamani (wat hapened tuyaache),ila mpk leo jmosi nashindwa kurudi home,love bite zimenijaa kifua kizima na zinaonekana waziwazi kutokana na karangi kangu!nikirudi hivi msala,kesi itakuwa kubwa kwa mkurya wangu mama watoto!jamani nazitoaje ili kesho nirudi home?msaada pliz
Nunua "cocoa butter" ( palmers formula) Au mwambie shemeji kua ulimbeba mtoto mdogo akawa anakung'ata ng'ata

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Kuna dawa inaitwa Insect bite nzuri sanaaaa utaipata pharmacy yoyote kubwa tia nzuri sana inatoa,lakini sikunyengine chukua mwanamke aloelimika kidogo sio hao mkomoeni...
 
wapendwa,nlikuwa safari mkoa flani toka j3 iliyopita na j5 ilikuwa nilirudi home acity!huko nikakutana na moja ya 'project' zangu kali za zamani (wat hapened tuyaache),ila mpk leo jmosi nashindwa kurudi home,love bite zimenijaa kifua kizima na zinaonekana waziwazi kutokana na karangi kangu!nikirudi hivi msala,kesi itakuwa kubwa kwa mkurya wangu mama watoto!jamani nazitoaje ili kesho nirudi home?msaada pliz

Love bite ni nini. Mtu anakuuma na meno hutoki damu, huumiii, inakuwaje. Tufahamishane jamani. I have never come across such a thing or heard of it
 
aseee.dont try it out of your home!!
 
Nunua "cocoa butter" ( palmers formula) Au mwambie shemeji kua ulimbeba mtoto mdogo akawa anakung'ata ng'ata

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

mhh,hilo tango pori silijaribu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom