Love at first sight...

Love at first sight...

Okay nitawaona watafikia wapi but I wish the best for them though bado sijamuona huyo boy but he better not hurt my friend she literally has stars in her eyes whenever she talks about him....and she talks about him a lot in only two days they've known each other


Believe me, huyo mkaka atakuwa na pesa nyingi ndo maana rafiki yako kadata nae..rafiki yako kampendea pesa huyo mkaka, utakuja leta mrejesho humu jf nadiegirlie
 
Namkumbuka Willie. Siku ya kwanza namuona nilihisi nimeona nini sijui. Alivyokuja kuniapproach nilihisi duniani tuko wawil tu. Nilimpenda sana (mwanaume wangu wa kwanza kumpenda). Japo hatukudumu kwa sababu kadhaa ila ilinichukua muda kumuacha maana kuna kipindi nilikua kama chizi sbaabu yake. Hadi nikaanza kuitwa chizi mapenzi na rafiki zangu.

Wanaume wawili niliowapendaga wote ilikua love at the first sight..


Acha kutudanganya mkuu, hao wanaume itakuwa uliwapendea pesa Mzigua90
 
Mimi Hapa Leo Baada Ya Kuona Hiyo Avatar Yako Mama.


Naona Kabisa Nimefall Hebu Nidake Mapema
 
Namkumbuka Willie. Siku ya kwanza namuona nilihisi nimeona nini sijui. Alivyokuja kuniapproach nilihisi duniani tuko wawil tu. Nilimpenda sana (mwanaume wangu wa kwanza kumpenda). Japo hatukudumu kwa sababu kadhaa ila ilinichukua muda kumuacha maana kuna kipindi nilikua kama chizi sbaabu yake. Hadi nikaanza kuitwa chizi mapenzi na rafiki zangu.

Wanaume wawili niliowapendaga wote ilikua love at the first sight..
Kumbe Bado Unanikumbuka Maana Wakati Tunaachana Ulinikazia Nikajua Hutonikumbuka Tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom