Love at first sight...

Love at first sight...

Pole sanaa!!
Namkumbuka Willie. Siku ya kwanza namuona nilihisi nimeona nini sijui. Alivyokuja kuniapproach nilihisi duniani tuko wawil tu. Nilimpenda sana (mwanaume wangu wa kwanza kumpenda). Japo hatukudumu kwa sababu kadhaa ila ilinichukua muda kumuacha maana kuna kipindi nilikua kama chizi sbaabu yake. Hadi nikaanza kuitwa chizi mapenzi na rafiki zangu.

Wanaume wawili niliowapendaga wote ilikua love at the first sight..
 
Wengine tumeambulia mapenzi ya kikoreaa,

Mnazungushanaa weeeeeeeeeee, sitaki natakaa na minuno mingiii.

Ndo mana mpaka sasa sijui nini maana ya kupendaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom