Love at first sight...

Love at first sight...

Kabla ya huyo mtu ambaye yupo naye sasa rafiki yako,
Hakuwahi kuwa na hisia na mvulana mwingne kabla?
Inaonekana umevutiwa na staili ya aina ya mahusiano ambayo rafiki yako yupo NATO kwa sasa?
 
Yap kind of..... huyo mwanaume mwenyewe simjui but the way rafiki yangu ana act nilitaka kujua kama kuna watu wengine wanafeel kama yeye
 
Namkumbuka Willie. Siku ya kwanza namuona nilihisi nimeona nini sijui. Alivyokuja kuniapproach nilihisi duniani tuko wawil tu. Nilimpenda sana (mwanaume wangu wa kwanza kumpenda). Japo hatukudumu kwa sababu kadhaa ila ilinichukua muda kumuacha maana kuna kipindi nilikua kama chizi sbaabu yake. Hadi nikaanza kuitwa chizi mapenzi na rafiki zangu.

Wanaume wawili niliowapendaga wote ilikua love at the first sight..
 
Pole sana...ila hongera pia.
 
Two wow inaelekea unapenda sanaaaaaa
Namkumbuka Willie. Siku ya kwanza namuona nilihisi nimeona nini sijui. Alivyokuja kuniapproach nilihisi duniani tuko wawil tu. Nilimpenda sana (mwanaume wangu wa kwanza kumpenda). Japo hatukudumu kwa sababu kadhaa ila ilinichukua muda kumuacha maana kuna kipindi nilikua kama chizi sbaabu yake. Hadi nikaanza kuitwa chizi mapenzi na rafiki zangu.

Wanaume wawili niliowapendaga wote ilikua love at the first sight..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom