Losaa-Kia water supply maji ni machafu, ukichota bombani yanatoka na udongo

Isalu

JF-Expert Member
Nov 3, 2022
504
664
Naomba kutoa malalamiko juu ya jambo hili kwani sisi watumiaji wa maji yanayosambazwa nanyi hatuna uhakika wa usalama kwa afya zetu kwani maji ni machafu sana. Ukichota bombani yanatoka na udongo
 
Ofisi zao zilipo unaweza kufika ukawapa taarifa au hawana huduma ya customer care?
Taarifa zimeshafika ofisini kwao siku nyingi chief! Tatizo ni utatuzi wa tatizo tajwa! Labda kupitia humu jamii forums ninaamini watakuwepo viongozi husika,kiwilaya,kimkoa au hata juu zaidi, wanaosoma ujumbe huu,tunaomba watusaidie kufuatilia pia mkuu.
 
Back
Top Bottom