KESI YA MAMA NA WATOTO WA MUTABOYERWA[emoji24] MisterLight RIP brother... Gari yangu ya kwanza kumiliki aliniuzia yeye Mitsubishi Gallant...[emoji2827]KABISA KABISA !!! YAANI INGEKUWA NCHI ZILO ENDELEA UKO HII KESI INGEPEWA KIPAUMBELE SANA NA WAPELELEZI WANGEIGOMBANIA !!!!!, MFANO KUNA KESI YA BILIONEA MSUYA , KESI YA MAMA NA WATOTO WA MUTABOYERWA NA YULE MAMA MHADHILI WA CHUO UKO MOROGORO>? YAANI POLISI WETU WANAKIBIRIA OOOH SIJUI HOUSE GIRL OR HOUSE BOY!! KUMBE MASKINI UKICHUMGUZA ZAIDI KUNA MHUSIKA MKUU NYUMA YAKE PIA LAZIMA WATU WAJUE MOTIVES ZA HAYA MAUJI ILI WAWE NA TAHADHARI!!! TAARIFA ZA MWISHO ZA UCHUNGUZI ZIWE PUBLIC!!!
DAAH POLE SANA ... UNA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA VIFO VYAO ?KESI YA MAMA NA WATOTO WA MUTABOYERWA[emoji24] MisterLight RIP brother... Gari yangu ya kwanza kumiliki aliniuzia yeye Mitsubishi Gallant...[emoji2827]
Hili nalo neno..Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.
Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.
Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.
Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
UNAFAA KABISA KUWA PRIVATE INVESTIGATOR!!!! Hivi private Investigators wapo tanzania?Hapana kabisa
ngoja nijaribuPlease share
Huyu jamaa ndio mchambuzi wa Homicide na Murder Cases humu JF, taratibu mkuu 🤣🤣Optography, or the idea that the eyes were able to record the last image that a person saw before death, was a widespread and popular “science” in the late 19th and early 20th centuries, albeit it has been debunked as a forensic method.
Hamna kitu kama hicho, ni story za vijiweni miaka ya 80's.Sasa last image si itakuwa ma Dr wa hospital? Ndiyo maana nikauliza wanatumia technolojia gani ku retrieve data za kwenye macho? let say wanavuta image labda za week moja nyuma kutoka kwenye retina.
Ushamba tuu huu unafanyaHili boya tu halina uhusika wowote, watakua wamelituma lisome comments, ooops,! ma jitu kama hili bongo kumbe yanaitwa CHAWA,lipo kuona muenendo wa comments za watu kwa maana JF ni real source ya habari bongo kama TMZ vile.
SahauNatamani wahusika wapatikane mapema na sheria ichukue mkondo wake.
Kwanini mkuu?Sahau
Yule wa house girl imeishia wapiKABISA KABISA !!! YAANI INGEKUWA NCHI ZILO ENDELEA UKO HII KESI INGEPEWA KIPAUMBELE SANA NA WAPELELEZI WANGEIGOMBANIA !!!!!, MFANO KUNA KESI YA BILIONEA MSUYA , KESI YA MAMA NA WATOTO WA MUTABOYERWA NA YULE MAMA MHADHILI WA CHUO UKO MOROGORO>? YAANI POLISI WETU WANAKIBIRIA OOOH SIJUI HOUSE GIRL OR HOUSE BOY!! KUMBE MASKINI UKICHUMGUZA ZAIDI KUNA MHUSIKA MKUU NYUMA YAKE PIA LAZIMA WATU WAJUE MOTIVES ZA HAYA MAUJI ILI WAWE NA TAHADHARI!!! TAARIFA ZA MWISHO ZA UCHUNGUZI ZIWE PUBLIC!!!
Nishakujua fresh Sasa nauza identity Yako Kwa MAMILIONI YA DOLLAR [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]KESI YA MAMA NA WATOTO WA MUTABOYERWA[emoji24] MisterLight RIP brother... Gari yangu ya kwanza kumiliki aliniuzia yeye Mitsubishi Gallant...[emoji2827]
Wengi sanaUNAFAA KABISA KUWA PRIVATE INVESTIGATOR!!!! Hivi private Investigators wapo tanzania?
Professional Killers Tanzania sio watu washambaKwanini mkuu?
Alafu 1B inaidhinishwa Head Office hata ikisainiwa Branch. Tatizo la watanzania ni ujinga na kuleta ujuaji kwenye vitu wasivyovielewa.Naamini matokeo baada ya deep investigation, hizo rumors hua ni kawaida kwenye matukio yoyote, kwanza kama unavosema alitakiwa kusain hundi ya 1B ndio lakini yeye alikua afisa mikopo tu muidhinishaji wa pesa ni muhasibu mkuu, na bado alikua hajasaini hivo bado hayo ni maneno tu, tuvipe nafasi vyombo vya uchunguzi vitaweza kueleza ukweli wote, japo kwenye kufetch information even rumor inasaidia kwa kuplay kama primary source of information
Watapatikana tu ni suala la mudaProfessional Killers Tanzania sio watu washamba