Loose ends Kifo cha Martha Towo

Yaani sura sioi imekaa kijambazi fulani labda nimtafune na inaonekana Ni hela tu inataka. Iende USA , Sydney,Paris otherwise itajioa
Mimi nishakula pisi ya kufanana na hii hamna maajabu apo na nilii trap using some cash kibunda nilichoproduce kwa ajili ya kuipa some kilinyakua chote nikakisisitizia kiniachie ata noti mocha tu kikasema vikoba aise nikafanya some effort ila sikuweza nikaiacha tu... Conclusion ikawa awa ni as beautiful as coiled cobra admire it from far or sustain a bite...

Ata i dont feel pity for Martha. My gut strongly tells me she had it coming. She screwed somebody so he/she replied in kind
 
Hebu ifafanue vema hii Zogwale
 
Hii Ni ishu ya mahusiano kwa hisia zangu, pia sio kuwa ndizo ziko sahihi Mana hapa navyojua wanaume tukishakuwa na hela isiyo na mawazo kinachofuata Ni Bata
 
as beautiful as coiled cobra admire it from far or sustain a bite... [emoji23]
 
na Samia hataki kumuondoa huyu mtu licha ya tuhuma hadi za kuteka watoto nakuwatoa kafara zikimuandamana mtu huyu[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji1544][emoji1550]
 
Hii Ni ishu ya mahusiano kwa hisia zangu, pia sio kuwa ndizo ziko sahihi Mana hapa navyojua wanaume tukishakuwa na hela isiyo na mawazo kinachofuata Ni Bata
Hii ni ishu ya hela. Kama ni mahusiano ni kidogo sana. Mchumba wake nilikuwa namuonaga siku nyingi kwenye startup ya masuala ya kilimo. Anabuni mashine za kupiga mtama na uwele.



Labda useme kala hela ya mtu kisha karudi kwa mpenzi wake wa zamani ili akaolewe naye.

Ila kiufupi huko benki huwa kuna madili mengi ya hela ndefu na ya hatari sana.
 
Hapo mwisho ndio nimemaanisha. Anaishi na mwingine huko job anamwambia hajaolewa kumbe anamkula mbolea so ikiisha kabisa anarudi zake ama anazingua ili waachane Mana
 
Sustain a bite you see... The problem to this bitting cobra is when na wewe ni honey badger apo ndo itajua haijui
Shida yenyu vijana mnapenda sana pisi kali, date with underground infamous chicks you will be safe all the way with less coins to ditch!
 
Wa Tz wengi huwa wakisikia mtu kauwawa wanakimbilia kwenye suala la mapenzi na kama marehem alikua na mgogoro na mpenzi wake







Hili ni. Zimwi
 
Kila mtu anatakiwa ajue wauaji hawa hawakua wazembe hata kidogo




Una HOJA professional Killers hao
 
mpango wa Mungu



Mshaanza wasabato
 
Mwenyewe nahisi mpango mzima ulianzia huko shinyanga. Nasikia alikuwa afisa mikopo
 
Hapa umeelezea vizuri sana, na huko kahama kuna pesa mingi za madini kwahio kuingiza pesa haramu na kutoa halali ingewezekana, labda alikataa wakaona isiwe tabu. Kama ni hivyo atakua alishakula zingine kwa mtindo huu labda alikua kashiba sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…