Loose ends Kifo cha Martha Towo

Hahaha ingekuwa enzi za Dkt Magufuli mgesingizia watu asiojulikana. Watanzania inabidi kuwakomesha maana akili zero. Sasa hivi mnaanza kumsakama Rais Dkt Samia na uzushi mara eti mfumuko wa bei, mara ufisadi
Eeh huyu katoka wapi tena? Halafu kadandia gari kwa mbele..! JF is never boring..[emoji23]
 
Hivo unavoviona ni basic ndo unaweza kukuta ni vya msingi sana kwenye upelelezi
 
Hivo unavoviona ni basic ndo unaweza kukuta ni vya msingi sana kwenye upelelezi
Ni kweli maana polisi uwa wanasema tukio lolote linalotokea uwa kuna mtu mmoja au wawili wameliona live, ndio maana wanaongea hivyo vitu basics ili watu wajitokeze kusaidia upelelezi. Sasa kama kama hapo kanisani huyo marehemu alipotoka lazima kuna mtu/watu waliliona hilo gari.
 
Sio yule mpwayungu village.
 

Ni rahisi sana kuwaachia manyoya watu wa cyber kwa kutumia mawasiliano ,issue nyingine hazifai kuziweka wazi maana zitachochea uhalifu ,bora waendelee kuacha traces ili wawe wanadakwa.
 

Hii investigation sijui wanatumia tekinolojia gani kupata taswira.
 
Sio kweli kwamba macho yanarekodi matukio matukio mtu awapo hai. Scientifically proved .
 
Umesahau kanda ya iringa na njombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…