Loose ends Kifo cha Martha Towo

Uko smart
 
Macho yana lenzi ambayo hubaki na baadhi ya matukio ya mwisho, ndio maana kwenye mauaji baadhi macho hutobolewa ili kutoruhusu alama yoyote kuchukuliwa labda hauna ufahamu wa haya mambo au umefanya makusudi

Mkuu ulichoandika hapa beberu anaita optography. Hayo yameelezwa vizuri hapa:

Optography - Wikipedia

Almaarufu kwenye movies za kina James Bond huko.

Jiulize hizi image za mwisho zinakuwa wapi na zinakuwa retrieved na nini.

Kwenye case hii za mwisho ni zipi? Za moto, za kukimbia, Tumbi au za Muhimbili?
 
Mkuu shida ni kwamba kwa nature ya tukio lazima lilihusisha watu wengi ila kama ingekuwa hit and run ingekuwa ngumu sana huyo mtu kudakwa.

Lets say, baada ya kutoka Kigoma unafika unafanya mawasiliano na chanzo chako then unamset atoke kanisani, akitoka anakula chuma then unapotea kusikojulikana unadhani ingekuwa rahisi kukamatwa??

Watabaki wakihangaishana na bodaboda kuelezea jinsi ulivyo lakini hiyo appearance yako ni wangapi wanayo Tanzania? Kosa ni kwamba ukija kukamatwa na boda akaletwa kukutambua hapo ndio inakula kwako. Lakini traces za kukukamata hazitakuwa ile simu bali vitu vingine kabisa
 
Matajiri wengi wa huko wanautajiri bandia yaani utajiri wa ndagu.
Thus hawana ubunifu wowote nje ya biashara za kuigana tu.
Ukatili wao ni matokeo ya kujiconnect na nguvu za giza
 
Hivi umeshawaona wale wabongo wanaochora picha za watu na zinatoka like picture za camera? Umeshawaza kama vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vina watu wa namna hiyo? Akikaa na dogo wa bodaboda 8hrs nini kitatokea?
 
Kwao wapo wawili tu. Yeye na mdogo wake wa kiume. Lete uongo mwingine
Anaweza kua na ndugu wa baba mdogo na mkubwa ubini unakua ule ule, nimesoma comments karibu zote lakini ukweli hii kesi watuhumiwa kukamatwa ni rahisi sana sana. Marehemu kaishi siku 6, na wakati anaungua na kuokolewa aliweza hadi kukumbuka namba ya simu ya baba yake ili apigiwe, hapo tu inaonesha alikua na akili timamu hadi anapatwa na umauti. kingine, hao wauaji kitendo tu cha kutumia simu hilo ni big mistake.
 
ila kuna kitengo kule polisi cha shirki wakiona wanasumbua kuwapata wanawaweka kwenye chungu maalumu kuwachungulia na kuwazubaisha ufahamu hawatoki nje ya eneo walilofanya tukio au nje ya mipaka ya nchi waliyofanya tukio watabaki wanazunguka tu humu mpaka watakapokamatwa.. kazi za upelelezi noma sana..
 
Ni kweli lakini vingi sijavizungumza. Nilichukua tu mfano wa scenario uliyoitoa. Hapo kwenye muhimu ndipo pana mantiki kubwa sana nimeijenga. Unaweza kulifanya tukio ukawa umeacha fingerprints ambazo zikipelekwa kwenye database kumbe upo Nida [emoji1] (natania). Tayari manjuga wanaanza kufurahia. Wanamleta boda anakuthibitisha. Wanakupeleka Lupaso unapokea dozi unaanza kutoa ramani yote ilivyokuwa. Unaenda mahakamani unapata wakili mzuri unashinda kesi. Case closed
 
Yes uko sahihi ni ndugu wa kiukoo.

Kwa jinsi Mzee alivyoongea kwa confidence vile lazima kuna clues zimepatikana. Na kwa kukazia alivyosema ni professional killers hapo binafsi siwezi ambatanisha professional killers na mapenzi. Lazima kuna kitu kikubwa pale kazini kwake kilifanyika.
 
kwa hiyo alitoka kanisani akaenda kuanzisha ugomvi ausio???
Akili yako imekutuma ugomvi ulianza siku hiyo hiyo na action zikachukuliwa siku hiyo hiyo.

Hebu jaribu kuashumu kinaweza kuwa ni kisasi hata cha miaka 4 iliyopita.
 
Na binafsi nilikuwa najenga hoja ya kutumia mawasiliano (simu) lakini usikamatwe kwa kupitia simu bali traces zingine tu kama hizo fingerprints na vitu zingine.

Muuaji smart akimaliza mauaji Kibaha angerudi Kigoma kumpoteza boda hata kwa njia ya ajali au uwizi wa bodaboda. Hapo tayari ushafuta side B ya upelelezi..
 
Nimesoma na mm Cuba nikaamia Venezuela
Ili kukuonesha kuwa wewe ni mwepesi, kwenye video iliowekwa hapa kwenye huu Uzi. Baba wa marehemu anasema baada ya wasamaria wema kuzima moto, Binti alitaja namba ya baba ake ili apewe taarifa.

Sasa kama mtu akiwa na majeraha ya moto aliweza kukumbuka namba ya simu ya baba ake!!
Vipi zile siku 6 alizoishi alikumbuka na kusema mangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…