silver hawk
New Member
- May 21, 2016
- 4
- 1
Am looking for girl too hahaha
Mi sihitaji dat's y cjaomba..komaa na huyo huyo mkuukamata fursa twenzetu.
niombeeni tu kwa Mungu.Mi sihitaji dat's y cjaomba..komaa na huyo huyo mkuu
Huyu jamaa ni noma, haya bhana mambo ya kimombi hayo!Ndo kiingereza gani hiki? Kwa nini usiandike tu kibongo mkuu?
Kama vip fresh but 2nd wf
Hopefully naweza nkawa ndie ninaetafutwa....im here seriously...pm and other stuff itausika uko
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Ucjali,nitakukumbuka kwenye ibada zangu za kila cku.niombeeni tu kwa Mungu.
Na mniombee kweri kweri maana hii kazi ni ngumu, in magufuli voiceUcjali,nitakukumbuka kwenye ibada zangu za kila cku.