Looking for gentleman

Yakhee nipo hapaa, ila samaki namla pande zote mieee
 
Weka picha tukuone..labda we ni jini...
 
Mbona profile inaonekana umezaliwa 1970 up to now una miaka 46!??? Au niaje apo tena!!!!!!!
 
I hope we will make a perfect combination ...nicheki whattsapp 0765113668

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Pole sana,unahitaji wa ngapi!??maana watajitokeza wengi na upo pekee yako ,utaanza kuwafanyia usahili mmja baada ya mwingne!??na kamà umeokoka na kumutegemea Mungu kwann usifunge na kumuomba Mungu juu ya hili!??

Tafadhali,katka kutekeleza kiu za yale uliyokusudia akilin mwako usimuhusishe Mungu au Mambo ya dini unadharilisha na kuwakosea heshima wale wenye dini za kweli
 
Asee nadhani nyota imeniangukia fasta ni pm kabla wengine hawajaamka wewe hii nafasi ikiichelewesha ndo basi tena
 
Inawezekana kabisa kabisa kumpata gentlemen wa ukweli
 
Sidhani kama miaka aliyosema ni mingi, kama kweli upo serious jitokeze
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…