Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

Tatizo la ninyi mnaojiita wasomi mnataka kila kitu kiende mtelemko. Uza hiyo simu unayotumia ku-like na ku-comment humu upate mtaji.

Kuhusu pa kukaa, vijijini kuna ukarimu wa hali juu Sana. Lkn atafutae huwa hana mwiko, hata shamba analala.
mh!
 
Hizo ndiyo risks zenyewe katika utafutaji. Mtafutaji anapaswa kuwa risk lover.
Chatu anakumeza watu wanamuua wanampasua wanatangaza kwenye ITV mkulima wa mchicha na sukumawiki amezwa na chatu huku picha yako ilioneshwa.

NO THANKS

Ukikamatwa na mamba mtoni ukichota maji
 
Tuma maombi yako ya KAZI ukiambatanisha CV , cover letter Kwa kiingereza na vyeti vyako vyote vikiwa na mihuri ya mwanasheria Kwa huyu general manager beberu WA SBC-PEPSI kiwanda cha soda makao makuu Dar
johan.voigt@sbctz.com , tuma kwenye hiyo email . Hakikisha kimombo kimekaa vyema usiandike utopolo be precise and clear .
Kila la heri
Shukrani sana mkuu
 
Utapata msaada humu mkuu kuna watu wazito humu wenye moyo watakusaidia

Pia kuna wajinga humu wao watakukatisha tamaa. So tegemea yote ila usikate tamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom