Longest Word In Your Language

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Taja neno refu la kiswahili, kichaga, nyamwezi, sukuma, hehe, nyakyusa...n.k

Neno langu ni NG'WANAKANUNDO
 
Mwenyewe anataka marefu! Hilo lako refu? Si kibamia tu hicho? Kua siriasi na mtoa mada!
Utaniuzi ujue?

si amesema la kikabila...? hilo kwetu ndio refu.....
ha ha....usinikumbushe mambo ya kibamia saa hizi.....
 
si amesema la kikabila...? hilo kwetu ndio refu.....
ha ha....usinikumbushe mambo ya kibamia saa hizi.....

Ya kibamia yanakuchachua mate nini ?
Kama vile tumuonapo mtu analamba ndimu mbele yako au ?
 
Back
Top Bottom