Loneliness

Loneliness

Naweza kukusaidia?
Mwankina aliyekuwa mkuu wa Itope Sec school kyela?


Sijajua...alikua mtaalam wa histry..amenifundishaga kidg kbla sijachepukia science..alikua ana kigugumiz hivi .!hakukaa sana pale shule. sikujua aljwnda wapi
 
Samahan kwa usumbufu.

Wew unazungumzia alikaa sana shule gan?


Hakukaa kivilee shulen kwetu ...huenda atakuwa huyo alikuwa mzuri sana kwa histry ..najaribu kumkumbuka mwanaye wakike akili imesahau anywys basi!
 
Pole aisee watu wanasemaga tu
Upweke unaua yani unaeza jihisi hupendw bt unatakiwa utafute rafk au uwe na mpnz maisha ya peke ako ni magumu hasa ukitoka kazini kwa ss tunaoish peke etu ni hatar unataman likizo isiishe
Bt penda kujichanganya na watu itakusaidia saana i dd that too at least usku napenda utulivu so mchana nakua na watu kabla cjaingia kwenye kiita changu kujfungia
Ndio nakuwaga hivyo ila ikifika mahali nimebanwa sana na hawa boy wetu wasivyopenda kuomba, siombiii na ndio napomkumbuka sasa ningekuwa kama wenzangu si ndio ningekuwa namdekea we acha tuu but one day yes.
 
Karne hii unakuaje mpweke sema labda kihisia (mahusiano) ila kama kampani mbona vitu vingi mkuu.. Tena kazi unayo just unga ma bundle ya kutosha zama you tube cheki komedi za kina joti, Churchill show, bad boys, au tafuta video games pes 19 au fifa 19 hapo huwezi kua mpweke labda uwe umetupiwa jini domozege.
 
Back
Top Bottom