oscar mwankina
Senior Member
- Feb 10, 2013
- 187
- 118
- Thread starter
- #61
Umeongea kweli
Mkuu stage uliofikia solution ni KUOA
Mkuu stage uliofikia solution ni KUOA
Pole mkuu uko P nini?
Ecclesiastes chapter 3:1-14.
Kama una kazi naamini pesa si tatizo sana.
Unateswaje na upweke?
Ni yeye mwenyewe anavyoona kulingana na muda wake....
Ukishakua mtu mzima akuna mtu anaekusukuma wala kukutuma ila majukumu, ndoto na malengo yanakuautomize.....!
Mihimu ni ratiba tu. Kuweka muda wa kurelax na kujichanganya na wadau si mbaya!
mkuu kuna vinyau hapo unaposhi?
Tatizo la dunia ya sikuiz Good boys are not fun, lakin Bad boys ndio wako fun...and kama ulonely wako unataka mwanamke Dunia imekengeuka women hata wale walokole wanapendaga badboys because they are fun to be with.....
Your jocking and he is serious...not fair,
Mwalimu Mwankina unamfahamu?if yes bado yupo,,?samahani nimetoka nje ya mada
Bro code no. 4; A bro shall not ruin another bro's chance to score!
Akijichanganya, hata hapo nyumbani atakua harudi. Patageuka central.
Pole Mungu akujalie upate kampani ya maishaKuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana.
licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa mtu wakuongea nae nikiwa home kiasi kwamba ikitokea hivyo hata kupika au kutazama TV nashindwa.
Isingekuwa kushika sana Dini na Mungu wangu ningejikuta nakunywa au kuzurula ili kupata kampany.
Loneliness knows my name.
Upweke unaathiri sana, Pia maumivi yake ni makubwa maana it's psychological torture.
Nakosa nguvu ya kuendelea.
Pole Mungu akujalie upate kampani ya maisha
Pole aisee watu wanasemaga tu
Upweke unaua yani unaeza jihisi hupendw bt unatakiwa utafute rafk au uwe na mpnz maisha ya peke ako ni magumu hasa ukitoka kazini kwa ss tunaoish peke etu ni hatar unataman likizo isiishe
Bt penda kujichanganya na watu itakusaidia saana i dd that too at least usku napenda utulivu so mchana nakua na watu kabla cjaingia kwenye kiita changu kujfungia
Mi binafsi ninapokuwa lonely nafungulia radio sauti ya juu sana na mara nyingi huwa napenda kusikiliza bongo flavour ya zamani kama mda huu nilipo sasa na reggae au naangalia muv za kutisha sana na nishazoea maisha haya.Kuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana.
licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa mtu wakuongea nae nikiwa home kiasi kwamba ikitokea hivyo hata kupika au kutazama TV nashindwa.
Isingekuwa kushika sana Dini na Mungu wangu ningejikuta nakunywa au kuzurula ili kupata kampany.
Loneliness knows my name.
Upweke unaathiri sana, Pia maumivi yake ni makubwa maana it's psychological torture.
Nakosa nguvu ya kuendelea.
Kukosa mtu wa ku share nae mawazo