Modrizzy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 971
- 1,793
Katika vitu nimejaaliwa ni kurudisha furaha kwa wadada iliyopoteaSijasema natafuta. Unaweza ukawa na mpenzi lkn upweke upo pale pale
Nakukaribisha kama unatka kuondoa upweke
Katika vitu nimejaaliwa ni kurudisha furaha kwa wadada iliyopoteaSijasema natafuta. Unaweza ukawa na mpenzi lkn upweke upo pale pale
Then hapo shida inaweza kuwa kubwa zaid.Kuna uwezekano mkawa hamko compatible.Hamuendani mambo mengi maana kama una mpenz but stil lonely then check if uko na mtu sahihiSijasema natafuta. Unaweza ukawa na mpenzi lkn upweke upo pale pale
HuweziKatika vitu nimejaaliwa ni kurudisha furaha kwa wadada iliyopotea
Nakukaribisha kama unatka kuondoa upweke
M huwa nafrahi zaid nkiwa peke yangu, au nkiwa na mbebe wangu naona niko huru zaid... Nkichagiza na bundle la kutosha ata week naeza chili tu geto, na ndo maana napenda geto liwe zuri ili nisiboreke........,!
Japo sijawai kukosa company..
Sio mbaya kuwa alone, wala akuna atae kuuliza mkuu, kila mtu na maisha yake ila kama unaona ni shida kwako tafuta rafiki kwenye kijiwe cha biashara au duka kuabzia apo utapata marafiki wapya...... Au jishughulishe zaid kanisan utapata marafiki unaoshare nao vitu vingi zaid.
Kwa uzoefu wangu sidhan kama kuna mtu ntashindwa kuondoa upweke wakeHuwezi
Kuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana.
licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa mtu wakuongea nae nikiwa home kiasi kwamba ikitokea hivyo hata kupika au kutazama TV nashindwa.
Isingekuwa kushika sana Dini na Mungu wangu ningejikuta nakunywa au kuzurula ili kupata kampany.
Loneliness knows my name.
Upweke unaathiri sana, Pia maumivi yake ni makubwa maana it's psychological torture.
Nakosa nguvu ya kuendelea.
Pole mkuu uko P nini?Naweza fika huko nikapata maumivu zaidi ya haya niliyonayo sasa hivi
P ni Nini?Pole mkuu uko P nini?
Ecclesiastes chapter 3:1-14.Nyakati tu na majira kwa kila kitu.
Af kuna mbulula anakuja na uzi na kusema watu tusioe. Shenzi kabisa, ukiwa na mke kama rafiki yako huwezi kujifeel upweke hata siku moja. Do all the crazy stuffs togetherMbona mnasemaga wanawake ni wengi kwa nini usioe mkuu?
Ukirudi home unakuta yupo kukusubiri mnapiga story mnacheza mnataniana hapo vipi?
Mwezini kwa lugha ya kijamaaP ni Nini?
So?Am lonely too
Kuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana.
licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa mtu wakuongea nae nikiwa home kiasi kwamba ikitokea hivyo hata kupika au kutazama TV nashindwa.
Isingekuwa kushika sana Dini na Mungu wangu ningejikuta nakunywa au kuzurula ili kupata kampany.
Loneliness knows my name.
Upweke unaathiri sana, Pia maumivi yake ni makubwa maana it's psychological torture.
Nakosa nguvu ya kuendelea.
Af kuna mbulula anakuja na uzi na kusema watu tusioe. Shenzi kabisa, ukiwa na mke kama rafiki yako huwezi kujifeel upweke hata siku moja. Do all the crazy stuffs together
Kama una kazi naamini pesa si tatizo sana.Kuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana.
licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa mtu wakuongea nae nikiwa home kiasi kwamba ikitokea hivyo hata kupika au kutazama TV nashindwa.
Isingekuwa kushika sana Dini na Mungu wangu ningejikuta nakunywa au kuzurula ili kupata kampany.
Loneliness knows my name.
Upweke unaathiri sana, Pia maumivi yake ni makubwa maana it's psychological torture.
Nakosa nguvu ya kuendelea.
Siyo kwamba huwezi lipia hapana nataka akija usiwaze tena kuhusu kutoa hela yako uliyoipangia bajeti mi namalizana nae kabisa akija kwako ni kukupa raha tuHahahahahaha. Mkuu we noma,Badala yakwamba nilipe mimi sasa we ndo ulipe?
Kuwa mwezini na upweke vina uhusiano?Mwezini kwa lugha ya kijamaa
What?
Sasa si umesema uchungu uliopata utazidi, mara sio kila upweke wa kuhitaji mpenzi. Mie nimejiongeza tuKuwa mwezini na upweke vina uhusiano?