HURIS
Member
- May 18, 2019
- 72
- 60
Try me madam!!!Am lonely too
Try me madam!!!Am lonely too
😀😀Try me madam!!!
🙄U wont regret!!
U wont regret!!
Siyo kwamba huwezi lipia hapana nataka akija usiwaze tena kuhusu kutoa hela yako uliyoipangia bajeti mi namalizana nae kabisa akija kwako ni kukupa raha tu
Eti?Wazungu wanasema! Lucky meets opportunity!!
Holy Marry!Am lonely too
Akijichanganya, hata hapo nyumbani atakua harudi. Patageuka central.Mbona mnasemaga wanawake ni wengi kwa nini usioe mkuu?
Ukirudi home unakuta yupo kukusubiri mnapiga story mnacheza mnataniana hapo vipi?
Bro code no. 4; A bro shall not ruin another bro's chance to score!Wazungu wanasema! Lucky meets opportunity!!
This means, I will receive straight red card?Bro code no. 4; A bro shall not ruin another bro's chance to score!
Unless you turn it around and provide a fine assist!This means, I will receive straight red card?
Kwa hiyo umashauri wakati mwenzake anafanya kazi kwenye kijiwe chake yeye aende akae tu?M huwa nafrahi zaid nkiwa peke yangu, au nkiwa na mbebe wangu naona niko huru zaid... Nkichagiza na bundle la kutosha ata week naeza chili tu geto, na ndo maana napenda geto liwe zuri ili nisiboreke........,!
Japo sijawai kukosa company..
Sio mbaya kuwa alone, wala akuna atae kuuliza mkuu, kila mtu na maisha yake ila kama unaona ni shida kwako tafuta rafiki kwenye kijiwe cha biashara au duka kuabzia apo utapata marafiki wapya...... Au jishughulishe zaid kanisan utapata marafiki unaoshare nao vitu vingi zaid.
Am lonely too
Ni yeye mwenyewe anavyoona kulingana na muda wake....Kwa hiyo umashauri wakati mwenzake anafanya kazi kwenye kijiwe chake yeye aende akae tu?
What makes you think am jocking?Your jocking and he is serious...not fair,