Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
Walikwambia ukiwataka unifuate mimi?Walikuambia wanataka hela?
Mimi ndio nataka hela.
Walikwambia ukiwataka unifuate mimi?Walikuambia wanataka hela?
What makes you think am jocking?
This point is very crucial, and have noted much of this experience. Cool boys are always boring and are not liked by girls.
Girls like charming and funny guys .
The world is just not fair
Lakini kwanini madalali mnakuaga wajeuri kuliko wenye nyumba?Walikwambia ukiwataka unifuate mimi?
Mimi ndio nataka hela.




Lakini kwanini madalali mnakuaga wajeuri kuliko wenye nyumba?
Hebu unga mkono juhudi nitembee kifua "mbere".
![]()





Maendeleo hayana Chama, punguza gubu ma mkwe!
Jifanye kama unajikuna uone kama sijakupeleka jangwani.





Anza vitendo sio maneno matupu.Maendeleo hayana Chama, punguza gubu ma mkwe!
![]()
Mama mkwe unatumiwa na mabeberu kunihujumu!Anza vitendo sio maneno matupu.
Mfuate pm muondokane na hayo matatizoAm lonely too
😀Mfuate pm muondokane na hayo matatizo
Basi baki hivyo hivyo.Mama mkwe unatumiwa na mabeberu kunihujumu!
Mkapeane joto bhana..dunia ni furaha na furaha ni watu wenyewe
Lakini kwanini madalali mnakuaga wajeuri kuliko wenye nyumba?
Hebu unga mkono juhudi nitembee kifua "mbere".
![]()
The same mkuu
Yani kama mimi nkitoka zangu kazini npo zangu tu room yan
Afu hari hi inaumiza sana
Mie domo zegeRasilimali zote hizi....kwa nini uwe mpweke?
Unafikiri watu kushinda Bar unacheki EPL,Laliga na UEFA hadi saa saba usiku kwamba tunapenda? kote ni kuitafuta furaha tu.....upweke huleta maradhi mengiKuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana.
licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa mtu wakuongea nae nikiwa home kiasi kwamba ikitokea hivyo hata kupika au kutazama TV nashindwa.
Isingekuwa kushika sana Dini na Mungu wangu ningejikuta nakunywa au kuzurula ili kupata kampany.
Loneliness knows my name.
Upweke unaathiri sana, Pia maumivi yake ni makubwa maana it's psychological torture.
Nakosa nguvu ya kuendelea.