Londonistan haiepukiki

Uislam upo wazi hao waliofanya hivyo sio waislam kwamujibu wa uislam usome uislam uliyajua haya yote kabla yako hata wakati wa saw kuna watu Wali jifanya kua wapo na saw kumbe wanafiq jibu lako lipo kwenye tarekh ya saw na ndio maana watu hao Allah akawaandalia adhabu kali
 
Europe inatakiwa Reconquista dhidi ya hii Dini ya chuki dhidi ya Dini nyingine
 
Europe inatakiwa Reconquista dhidi ya hii Dini ya chuki dhidi ya Dini nyingine
Uislam ni mwema sana, haujawahi kuwa na fujo na yeyote, soma kuhusu hiyo Spanish Inqwisition. Utaelewa hilo.

Haujiulizi kwanini wazungu watumie nguvu kubwa kuupifa vita Uislam"

Jibu ni jepesi sana, Uislam unafundisha kuwa sisi sote ni wachungaji, hakuna komdoo. Kila mmoja wetu amchunge mwenzake kufanya mema.
 
Sawa, isitokee tu kama Gaza Palestine, baadae wadai uingereza ni kwao na wazungu wahame na kuanzisha vita kuwateketeza.
 
Ndio maana na kuambia haki huja hata kwa kuchelewa ? Kwann wewe hutaki Palestine iwe huru ? Mbona sisi tumejikomboa kwa muingereza
Au taifa teule ndio Lina haki ya kutawala
Shida iliyopo ni kuwa wayahud na waarabu wana haki sawa kumiliki eneo lile so hakuna wa kumtoa mwenzie
 
WaIberia walisilimishwa na Majeshi ya Kiarabu kwa nguvu lakini Uisilamu ulikuja kutolewa na Waarabukufurushwa na kukimbila Moroco.
Liberia hakuna Waislam ?
Hata huko London umesikia mtu anasilimishwa kwa nguvu ?

Kula nondo hii
 

Attachments

Kamsikilize Marehemu Sheikh Ilunga utaelewa kidogo jinsi Ukristo ulivyopenya katika uislam

Kwa ushahidi wa maandiko na kamusi za dini ya kiislam ambazo zimeandaliwa na Mapadre😂😂😂

Pia Middle East vyuo vikuu vingi vya kiislama vinafundishwa na Waisrael na wamarekani wakijifanya waislam huku wakiharibu mambo mengi katika uislam😂🤣
 
Takbir......
 
Uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…