Londonistan haiepukiki

JUzi hapa kulitokea xenophobic attack kwa raia wahamiani hasa waislamu , but serikali ikaww upande wa wahamiaji na bii trend nadhani ni imetapakaa nchi nyingi sana za ulaya Alhamdulillah, yaliyotabiriwa yanatimia ila nina furaha na majonzi pia .
Majonzi ya nini mkuu
 
Kwa udini wako unaona hii habari njema kwako.
 
Mbona wanazikimbia Nchi zao na kwenda kwenye Nchi za "Makafiri" ambao hawafuati Uislamu?!
Unajuwa kazi mpoja ya Muislam nikufikisha ujumbe wa Mwenyeezi Mungu?

Japo aya moja tu. Sasa niende niwapelekee neno la Mwqenyezi Mungu wnaolijuwa tayari?

Usiwe kondoo, uwe unafikiri japo kidogo, wewe umedangaywa tu na wazungu kuwa ni kondoo, wewe ni binadam. Fikiri.
 
Ingependeza Saudi Arabia, Qatar, Kuwait, Oman, Pakistan, Bangladesh na Iran nako kujae makanisa
Nani kakuambia hakuna makanisa lakini nani atafata dini haijaletwa na Mungu, hivi ukristo nani kauleta katika Mitume wa Mungu
 
Unajuwa kazi mpoja ya Muislam nikufikisha ujumbe wa Mwenyeezi Mungu
Mumeacha kutumia Majambiya na Upanga mumeanza kutangaza Dini kwa Uhamiaji Haramu?!

Uhamiaji Haramu imekuwa Tool ya Jihadi?!
 
Wazungu wana akili kubwa tofauti na unavyowachukulia. Wanawakaribisha kwa wingi then wanawapa uhuru wa kuabudu kisha wanapandikiza utamaduni mpya katika dini yenu! Mifano ni mingi sana ya mkakati huo wa wazungu, leo hii kuna maimaam wengi sana ambao wanajitangaza wazi kuwa ni mashoga na wanaswalisha kwenye misikiti huko Ulaya! Muislam mwenye akili timamu hawezi kufurahia huo mtego, subiri utaona.
 
Lakini mleta uzi kaleta tu habari mkuu au kuna baya
 
Wewe sijui nyoko faiza jipe moyo tu Uislsm na ushetani wetu utamalizwa tu kisha nawe utaenda kuwa miongoni mwa bikra wa allah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…