baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,040
- 12,749
Ukitoa Waarabu na Wamarekani nani yupo Interested toka wajitoe EU? Nipe na data.London ni financial centre of the world tangu karne ya 18, kila tajiri duniani anataka kupeleka pesa zake London, kuanzia Warusi, Wachina, Waarabu hadi mafisadi wa Africa
Unaijua London vizuri??Ukitoa Waarabu na Wamarekani nani yupo Interested toka wajitoe EU? Nipe na data.
Fact ambayo wengi hamtaki kuizungumzia ni Middle East/East/NorthAfrica pekee Dunia nzima ndio utakuta Makanisa ambayo yapo toka wakati wa Yesu.Ingependeza Saudi Arabia, Qatar, Kuwait, Oman, Pakistan, Bangladesh na Iran nako kujae makanisa
Data mkuuUnaijua London vizuri??
Mabilionea kutoka China, Urusi, India na kila mahali pamoja na makampuni yao wanaweka pesa nyingi sana London.
London ndio jiji linaloongoza kupokea FDI duniani na jiji namba linavoutia zaidi kuwekeza pesa.
Ni kweli kabisa.Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.
Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?
London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.
Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.
Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:
View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi
Vip Gaza kipondo kimefikia wapiFikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.
Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?
London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.
Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.
Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:
View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi
Sio raia asili kivipi? Siumesikia hapo namna numba inavozidi kila mwaka..kwani Bwajima na Mwaposa wanasemaje?Tatizo ni kwamba ongezeko linatokana na uhamiaji kutoka Uarabuni na kuzaliana na sio raia asili wa Uingereza kubadilisha dini,
Hii itazua matatizo makubwa mbeleni.
Jmn mbona nyie ndio mnafanya mambo yaliyo kinyume na biblia yenu ..waislam wanafata tamudini zao zile zile mpk mnawaita washamba ,Uislamu umebuniws miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, yote yalitabiriwa, ujio wa mpinga Kristo, sikutegemea itendeke kwenye kizazi hiki.
Mkristo atakayevumilia hadi mwisho ndiye ataokoka, maana shetani sasa hivi anatumia nguvu nyingi sana kutumia mawakala wake wote.
Na wao wataupata Uhuru wao hata damu zao zimwage vipi ,haki yao wataipata tuh .na ndio kitu mnakiogopaVip Gaza kipondo kimefikia wapi
Ulaya mashariki yote wamejaa coptics, maronite na Orthodox.Fact ambayo wengi hamtaki kuizungumzia ni Middle East/East/NorthAfrica pekee Dunia nzima ndio utakuta Makanisa ambayo yapo toka wakati wa Yesu.
Makanisa kama Coptic Egpty, Maronite Lebanon, orthodox (walipojitenga ndio ukatoka Ukatoliki) na branch zake kama Armenian Christians, Melikite etc.
Kwanini Ulaya na maeneo mengine duniani ambayo tunaaminishwa wakristo wanaishi kwa amani hakuna haya madhehebu?
Nioneshe copt na Maronite wapo wapi huko UlayaUlaya mashariki yote wamejaa coptics, maronite na Orthodox.
America na Ulaya ziko dini zote, yako makanisa yote, misikiti yote, madhehebu yote, mahekalu yote, masinagogi yote, atheists, agnostics na hadi waabudu shetani.
Watadai wanaipigania ardhi ya Uingereza yote ni yao.Subiri utaona.Hao watu wa London wanaachia nyani shamba Kuna siku watavuna mabua.
Ni vizur kujifariji kaka. Lakin kwasasa hilo msahau.Na wao wataupata Uhuru wao hata damu zao zimwage vipi ,haki yao wataipata tuh .na ndio kitu mnakiogopa
Wazungu washaachana na mungu-mwana-mtu aliyetoa/jitoa kukomboa binadam na dhambi ya asili ambayo hawakufanyaSoma Historia ya Portugal na Spain Waarabu walivamia na kutawala kwa karibia 600yrs na wakatolewa kwa kipigo na kufurushwa.
Wazungu washaachana na mungu-mwana-mtu aliyetoa/jitoa kukomboa binadam na dhambi ya asili ambayo hawakufaSoma Historia ya Portugal na Spain Waarabu walivamia na kutawala kwa karibia 600yrs na wakatolewa kwa kipigo na kufurushwa.
Ndio maana na kuambia haki huja hata kwa kuchelewa ? Kwann wewe hutaki Palestine iwe huru ? Mbona sisi tumejikomboa kwa muingerezaNi vizur kujifariji kaka. Lakin kwasasa hilo msahau.
Uhamiaji haramu na uzaaji kama wa panya au sungura.Hii ndio itafanya Trump achaguliwe tena Marekani,
Uhamiaji holela,