Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,203
- 1,462
Kipindi cha pili kimeanza UAE 1 Uruguay 1 game nzuri sana,
Dah Uruguay kuna Cavani na Suarez kule mbele .... ni haki yao kushinda hili game
najua hapa leo P-red anafurahia mbaya. kuona suarez anakimbiza...
Suarez anakimbia kimbia tuu .... anashindwa hata na hawa waarabu
hilo goli lapili nani kashinda la uruguay
asante mkuu.....hii michezo huwa ni ugonjwa wangu......nitaenjoy sana......
Brazil 3 Egypt 0