LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

Kipindi cha pili kimeanza UAE 1 Uruguay 1 game nzuri sana,
 
Preta

Opening Ceremony itakuwa ni saa 5 usiku ...... sijui channel gani itaonyesha
 
Last edited by a moderator:
Dah Uruguay kuna Cavani na Suarez kule mbele .... ni haki yao kushinda hili game
 
ufunguzi ni saa ngapi kwa hapa kwetu...?....na tutaona kwa kupitia chanel zipi...?

Sherehe za ufunguzi ni July 27th saa 11:00 pm kwa saa za nyumbani nadhani TBC wataonye.
 
Haya mashindano jirani zetu kenya ndio wanaosha jina sisi bongo tumengangania hili janga la taifa football tumeacha michezo mirahisi yenye kuiletea sifa nchi.yaani mamichezo kibao sijawahi kuona bendera ya bongo inapandishwa na songi letu la taifa linagonwa?aibu sana.ona kenya kila siku kbc ilikuwa makini kuhesabu siku zilizobakia ila bongo ni jana tuu nilisikia tv moja ikitangaza zigine zilikuwa bize na mashindano ambayo hayapo hata kwenye kalenda ya fifa.aibu ngoja tuu sisi wapenda riadha tukashangilie kenya,a.kusini na jamaica
 
Next Game : Great Britain vs Senegal

Kazi ipo hapa
 
Back
Top Bottom